jerrysonkiria
JF-Expert Member
- Sep 5, 2014
- 2,226
- 2,902
Baada ya muda mrefu finaly mpenzi wangu kaniambia ananipenda sana na hayuko tayari kunipoteza.
🙂 🙂
🙂 🙂
Inaeza kua hvyo budaaBas ujue kuna mjanja asha mpiga chini.
Kwa sasa umebaki peke yako.
*hongera lakini
Budaa angalia jina na avatar kabla ya kusema ama nini kijanaKama ni Ke utakuwa ndo mwenyewe niliyasema hayo Jana kama sa hizi
75 ageUna umri gani?
Bado kakaaa nadhani hi anamaanisha haswakwan umepata salary increment nin mkuu na amejua?
Sasaaaa....Baada ya muda mrefu finaly mpenzi wangu kaniambia ananipenda sana na hayuko tayari kunipoteza.
🙂 🙂
Haya ndio majibu yanayo watia watu presha aiseeee....[emoji23] [emoji23]Bas ujue kuna mjanja asha mpiga chini.
Kwa sasa umebaki peke yako.
*hongera lakini
Haha haha mkuu unaijua iPhone 7? Au ushawah hata kuisikia bas kaulizie beiBado kakaaa nadhani hi anamaanisha haswa
[emoji1] [emoji1] [emoji1]Haya ndio majibu yanayo watia watu presha aiseeee....[emoji23] [emoji23]
We unaona nimelenga nn? halafu si lazima useme kwa kiingereza sema tu "uzi" siredi ndio umelenga nin?Haya ndo matokeo ya kusema baadhi ya watu hawashirik kutuma chochot jf.Sasa hii siredi yako umelenga nn