Kazi ya moyo ni kusukuma damu tu,kazi ya ubongo ni kuongoza mwenendo wa matukio mwilini ikiwemo kufikiri na kufanya maamuzi,kwa nini basi moyo unahusishwa sana na mapenzi?mara utasikia mtu...
Niaje wadau wa jf MMU?!
Nyie wenzetu mnajionaje na hali na kabaridi haka labda?!
Maana me na genyeka mpaka basi, naombeni njia mbadala maana hapa karanga nimemaliza, korosho tayari, supu zote...
Ninatafuta mchumba tuje tufunge ndoa, awe serious kweli ,elimu yangu ni diploma Nina miaka 25.
Ninatarajia nimpate mchumba mwenye cfa zifuatazo
Mwenye upendo wa dhati
Mwenye kunijali mm na familia...
Hapa nilipo niko hoi na nguo zangu zimejaa tope. Si mnajua tena? Huku kwetu uswazi madimbwi mpk ndani. Nilikuwa naamlia ugomvi wa mtu na mpenziwe walio wekana kinyumba kwa takribani wiki sasa...
Nashindwa kuelewa haka kaugonjwa ni kaugonjwa gani?
Kwanini initokee tu napomuona huyu binti?
Maana Dege dege si degedege kifafa si kifafa yaani tafrani.
Naogopa kama hali hii ikiendelea ipo...
Naomba niwakumbushe wanaume kuwa, kazi ya mwanaume mileleeee mpaka anarudi kaburini na mavumbini ni ku-provide! Kutoaaaa! Yani wewe Mungu amekuweka duniani ukishapata akili we kazi yako ni...
Waungwana habari zenu!!!
Naomba msaada wa kujuzwa jinsi ya kuifanya birthday ya kwanza kabisa ya mwanangu kuwa so special
Si mnajua tena it is once in a life time...ni furaha kama mzazi kuona...
Mwanzo kabisa niseme haya ni maoni na mawazo yangu, kwa ushahidi kidogo nilioupata.Imekuwa ni kawaida sana kukutana na mwanamke/mwanaume, inaweza kuwa kwenye daladala, ofisi, bar, beach na sehemu...
Kama kichwa cha habari kinavyojieleza,
Nina umri wa miaka 28 mwajiriwa, kwa kipindi nimekuwa natafuta mchumba na mke wa kumuoa bila mafanikio. Nimekuja rasmi kwa jukwaa hili kutangaza kwamba hili...
Kwanini sijaipeleka mada hii kule habari na hoja mchanganyiko?
1. Huku ndipo tutapata mengi zaidi yanayomhusu mumewe Frola hasa ukizingatia bado wapo fungate
2.Jukwaa linahusu mambo ya ma love...
Kuvunjika moyo ni moja ya jambo zito na ambalo mtu hupitia na inahitaji sana moyo kwasababu ya kupitia wakati mgumu, fikra, mawazo, maumivu, kujiona huna thamani, jamani mtu kaamua kukuacha wa...
Hili ni jambo nataka kuwambia wasichana wote walio kuwa bado teenagers na bado wanasoma. Naanza kwa kusema maisha ya usichana ni mafupi mno wala sio marefu kabisa nikuanzia umri wa miaka 15 had...
Niende jumla kwenye mada
wakuu kutokana na uzoefu wangu na kushuhudia kwa wengi naamini kumpenda sana binti/msichana mwenye kati ya umri 18-24 ni kujitafutia matatizo yasiyo ya lazima.Kuna watu...
Hivi karibuni nilienda hospitali moja hapa Tanga maeneo ya Mjini kati (JINA KAPUNI SITOLITAJA) kumtembelea rafiki yangu aliyekuwa amelazwa. Nilikuwa nimekaa mapokezi nikisubiri ruhusa ya kuingia...
Hii tabia niliiona kwa rafiki yangu na msichana wake yaani unakuta msichana is of ur age kabisa umri sawa yani afu anakusalimia eti shikamoo bila aibu kabisa, cha kushangaza imenikuta na mimi na...
Jna naitwa Mohammed Ramsey
Naish Dar es salaam
Umri wangu miaka 26
Kabila langu Mzaramo
Natafuta mchumba ili awe mke wangu
Awe mwenye kujitambua na mwenye uelewa
Umri awe kat ya 18_24
Alikuwa...
Nimefikia mahali pakuacha kupenda wanawake. Nimekutana na mwanamke mchafu hata kuoga shida yani yeye ni passpoti size tu. Mtu unakuta ananuka kijasho hata hamu ya kumgusa haipo kabisa. Kingine ni...
Mi nna umri wa miaka 30.ni graduate wa shahada ya kwanza na nmejiajiri kwenye project zangu.
Natafuta mchuchu mwenye nia ya dhati tufanye maisha whatsapp me through +255758502366
Nipo ughaibuni napiga box kama wadau mlivyozoea kutuita. Nipo kwenye moja ya nchi 4 zenye uchumi mzuri sana Duniani, kwa kifupi mahali nilipo ni moja ya nchi tajiri Duniani weekend mchana, baada...