HEART123
Member
- Apr 21, 2017
- 21
- 9
Hili ni jambo nataka kuwambia wasichana wote walio kuwa bado teenagers na bado wanasoma. Naanza kwa kusema maisha ya usichana ni mafupi mno wala sio marefu kabisa nikuanzia umri wa miaka 15 had 25 hivi. Na hiyo ndiyo age ya kujenga maisha yako ya baadae. Huo umri unakukuta kuanzia secondary hadi chuo. Ukiutumia vibaya basi ni hasara yako baadae.
Kuna huyu binti nasoma nae she is so smart yani anaakili za darasani. Lakini alijiunga na marafiki wabaya akanza kuchange akajipatia boyfriend. Mara haji shule mwezi mara miezi miwili. Kaendelea na hiyo tabia hadi kaacha shule kabisa.
Sasa hivi amekuwa malaya wa high class. Unamlipa laki mbili unafanya nae unasepa. Kashatoa mimba mara kibao alafu ndio kwanza she is 17. Simsemi yeye tu ila kosa ni lamzazi wake angekuwa ana mwelewesha mwanaye yasinge mkuta haha.
EH MUNGU TISAIDIE TUWE NA MAISHA MEMA. TUEPUSHE NA MAJARIBU YA DUNIA. JESUS CHRIST PROTECT ME AMEN.