Nimefikia mahali pakuacha kupenda wanawake. Nimekutana na mwanamke mchafu hata kuoga shida yani yeye ni passpoti size tu. Mtu unakuta ananuka kijasho hata hamu ya kumgusa haipo kabisa. Kingine ni kinywa hakipigwi mswaki vizuri yani ni shida.
Sasa bado dharau na matusi ndio yake ni full mziki. Sasa nimelala nae wiki bila ya kumgusa kabisa, kwanza ndio haogi kabisa siku nzima. Kwa bahati mbaya ninakinyaa sana yani mpaka hasira inanipanda.
Uchafu kwa mwanamke ni shida sana. Haya mambo hata kumuambia naona aibu na hata kuwaambia wazazi wake aibu pia. Nataka niliamshe tu siku ili nimfukuze kabisa hapa, kama ni ndoa nimeshindwa akaolewe na mwingine.