Kuna binti huwa nikimuona, nahisi kama roho na mwili vinataka kuachana

Nyoka_mzee

JF-Expert Member
Nov 26, 2016
3,695
5,522
Nashindwa kuelewa haka kaugonjwa ni kaugonjwa gani?

Kwanini initokee tu napomuona huyu binti?

Maana Dege dege si degedege kifafa si kifafa yaani tafrani.

Naogopa kama hali hii ikiendelea ipo siko roho na mwili vitajaachana kwa ujumla na itakuwa ngumu kuviunganisha tena.
 
Subiria hisani ya watu wa marekani uvunje ukimya. Ila Trump sijui kama bado anafadhili baadhi ya mambo
 
Nataman itokee nipate ninaempenda kwa dhati nimwambie apoapo,af unakuja unasema unampenda na unamwogopa

Mwambie fasta bro hyo bahati
 
Nashindwa kuelewa haka kaugonjwa ni kaugonjwa gani ?
kwanini initokee tu napomuona huyu bint?
maana Dege dege si degedege kifafa si kifafa yaan Tafrani,
Naogopa kama Hali hii ikiendelea ipo siko Roho na mwili vitaja achana kwa ujumla na itakuwa ngumu kuviunganisha tena
Acha uwoga mtoto wa Kiume. Km vip fuatisha hata Swaga za Hemedy PHD
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom