Money Penny
JF-Expert Member
- Jun 20, 2016
- 17,280
- 16,556
Niaje wadau wa jf MMU?!
Nyie wenzetu mnajionaje na hali na kabaridi haka labda?!
Maana me na genyeka mpaka basi, naombeni njia mbadala maana hapa karanga nimemaliza, korosho tayari, supu zote nimekunywaaa, hot chocolate usiseme, ndizi choma nishapigaa, kuku choma tayar, yani hapa nakaukaaa
Na hivi shem wenu kasafiri, basi nimeganda kama nguzo
Wenzetu baridi hiii mnaji hifadhi vepee?!