Ogopa wanaume matapeli

Money Penny

JF-Expert Member
Jun 20, 2016
17,280
16,556
Naomba niwakumbushe wanaume kuwa, kazi ya mwanaume mileleeee mpaka anarudi kaburini na mavumbini ni ku-provide! Kutoaaaa! Yani wewe Mungu amekuweka duniani ukishapata akili we kazi yako ni kutoooaaa!

Kama hautaki basi tukuchabgie uende marekani tkaukubadilishe jinsia usubirie kuleta viumbe duniani, lkn kama hautaki kazi za kike toaaaaa! Proviiiiideeeee!

Usitulalamikie wanawake, sisi mbona hatuwalalamikii tunazaaa tunaleeeaaa tunawapa sheria watoto wanakuaaaa wanaoaaa wanazaaa tunapata wajukuu

Ila mwanaume anapokuwa Marioo au yahaya ndio inatia hasira na kuchoshaaaa ..

Na ni tabia mbaaayaaa sana kumwomba mwanamke hela mbayaaa yani ni sawa na kumlala mama mkwe wako uliemuolewa mtoto wake wa kike... that bad!

Last week nikiwa ofisini akanifuata mfantakazi mwenzangu, Penny Penny kuna kitu nataka tuongee! Yani sikuhizi
wamefufuka mashetani sijawahi kuona

April 2017 nilikutana na kaka m1 kwenye traffic lights za Posta natokea CBE, akanichangamkia nikamkazia, akachukua namba ya gari yangu akanipandia hewani sikujua amepata wap no yangu ya simu, tukawa tunawasiliana akaomba tuonane nikakaza, akaninyegeza nikakubalii, tukaonana maeneo salamaa

Tukaingia kwenye mahusiano bwana, mubashara kabisa, siku ya 1 ... 2... 3 lkn most of the time tukionana ananishika shika, mara nyonyo mara chiu yani very rude.. akaniuliza unafanya kazi wap nikamwambia sina, natafutaaa
Akaanza mashauzi ntakutafutiaaa, au nikufungulie biashara?! Unataka kufanya biashara gan?! Nikamwambia ya msosi, akasema atanipa mil 20 nipige tu mahesabu ila uwezo wake mil 20, kumbe hamna kitu yahaya mtupu!

Tulipotaka ku-du nikamwambia nipo kwa period, akanipotezeaaa, kesho yake nikamdanganya unajua me bikra?! Akasema eee basi hamna shida ukimaliza MP ntakutafutaa, ndio ikawa mwisho wa kuonana na hilo jinamizi

2 weeks ago namkuta yupo na dada m1 kempinski wanakula lunch mubashara kabisa ila hakuniona mimi, baada ya msosi wakaenda kwenye gari ya demu alikuwa anaendesha discovery 4 tinted, wakakaa huko ndani ya gari lisaa 1

Leo nakutana na mdogowake class mate wangu tukasalimiana namwuliza dadako hajambo?! Akaniambia we acha tu Pennt, rafkiako kawa kichaa?!

Money Penny: kivipi tena?!

Dogo: Matapeli matapeli da Penny wamemfanya dadangu awe kichaaa!

Dadaangu alipata bwana kwenye ndege anaelekea china kuchukua mzigo si unajua mwenzio anafanya biashara skuhiz

Money Penny: ndio najua, enhe!

Dogo: huyo Bwana sasa akajilengesha wakapeana contacts, wakaanza mapenzi aliporudi bongo, ilikuwa mwaka 2016, kufika Sept 2016 jamaa akamkopa sista laki 5 ntarudisha akapewa akarudishaaa

Oct 2016 akakopa mil 1 akapewa na sista akarudisha on time

Nov 2016 akakopa mil 5 akapewa na sista akarudishaa on time

Dec 2016 akamkopa mil 8 akafanya yake akarudisha

Jan 2017 akaja kutoa maharii mahari ikapokelewaa gadamit, dada akajua hapa naolewaaa lile jamaa likaja likamkopa mil 15 sista akampaje sasa, maana alimwaminisha hakuna mfano kwake kamwonyesha gari kamnunulia akajua mume ndo huyuu Mungu kanionekaniaaa nyoooo!

Kuja kushtuka muda wa mrejesho wa mil 15 jamaa hapatikani kwenye simu, kumcheki home kwake akaambiwa haishi pale alipanga kwa muda wa wiki 2, sista akachokaa! Siku anazunguka na ile gari akasimamishwa na traffic, akaambiwa sista hii gari imeibiwaa akawekwa ndani tukamtoa kwa dhamana ya mil 3 ktk kuhojiwa hojiwa mapolisi wakamwambia huyu muhusika twamjuaaa, ni jambazi sugu, limekubuhu, linatafutwaaa dada... we fanya kusamehe kama amekupiga samehe sie mapolisi tumemshindwaaa!

Sista akalia mpaka akawa kichaa hapa nakwambia Penny sista amekuwa nusu kichaa nusu tunaee

Money Penny: nikachokaaa!

jaman nyie wanaume kwan mmekuwaje lkn? Ivi hawa majesusi, wametokea wap tenaa ule wizi wa miaka ya 70 unerudi 2017? mshindwe na mlegee kwa jina la Bwana! Inabidi tuwaombee maombi ya mauti tu maana kama serikali imewashindwa nani atawaweza?!

Ndio mnajijua kama ni wewe tapeli unasoma ushindwe kwa jina la Yesu!
Nimenunaaa kwa niabaaa ya wanawake wenzanguu!

Na nyie wanaume mnaotongoza wanawake kwenye mataa mnaboaa sijawasikia leo ivoo hapa naandaa stori kwa ajili yenu, tutawafungia vioo mpaka mwisho stupeeed!

Wanawake wenzangu muwe waangalifu Dar ishaharibika ilo shetani la miaka 70 - 80 lishindwee!

Mange Kimambi amekuja kwa jina la Penny humu JF....!!?

uandishi wake huwa unaniacha na VICHEKO.... sanaaaa...mbavu zinaumaaaa....
 
Pole yake..!! Ila wakuu mbona hata nyie mnatuibiaga tukiwa tumelala kweny magest,lodge,hotel..tena pesa nyingi tu..na hizi case za wanaume kuibiwa ni nyingi kuliko wanawake kuibiwa..so its a win win situation..!
tofautisha kuibiwa yako hiyo ambayo unachukua malaya na mada iliyoletwa
 
Mpe pole huyo dada. Ila na ww pole sana,inaonekana kitendo cha kumkuta jamaa na dem mwingine kempisky kilikuuma sana. Yani jinsi ulivyokomaa alafu unaongopa uko bikra? Hata mm ningesepa.
 
Jaman sio mimi ni mfaanyakazi mwenzangu ndio yaliompata kasome upya waya bro
 
Ina maana bibiye alienda kutolewa mahari bila kufahamu ndugu/jamaa/rafiki upande wa mwanaume?
Mbona ngumu kumesa hii!
Hapo nimefupisha alitambulishwa kwa ndugu feki ndugu wa kugongeeeaaaa kuja kuwacheki hawapo hewan ndo kichaa kikaanzaaa
 
Back
Top Bottom