Englishlady
JF-Expert Member
- Apr 11, 2013
- 2,734
- 3,641
Waungwana habari zenu!!!
Naomba msaada wa kujuzwa jinsi ya kuifanya birthday ya kwanza kabisa ya mwanangu kuwa so special
Si mnajua tena it is once in a life time...ni furaha kama mzazi kuona mwanao anafikisha mwaka mmoja huku akiwa mwenye afya na furaha tele!!!
Nafahamu yeye hailewi na hatakumbuka chochote but I want to make it special and memorable.
Nataka iwe simple tu special kwaajili ya watoto wa majirani ndugu jamaa na marafiki.
Mnisaidie nini nifanye iwe special...kwenye upande wa michezo ya watoto..nataka wafurahi siku hiyo, vyakula vya vya watoto and fun things.
Mnisaidie wanajukwaa humu kuna kila la kujifunza, huwezi toka bure.
Asanteni sana!!!!