Kumpenda sana mwanamke mwenyeumri kati ya 15 -24 ni kupoteza muda. Amka

Markomx

JF-Expert Member
Apr 23, 2016
701
701
Niende jumla kwenye mada

wakuu kutokana na uzoefu wangu na kushuhudia kwa wengi naamini kumpenda sana binti/msichana mwenye kati ya umri 18-24 ni kujitafutia matatizo yasiyo ya lazima.Kuna watu hua wanapenda adi kufikia kuweka maagano ya kuoana na mabinti wa huu umri.Kwangu mimi ni uovu mkubwa

Zifuatazo ni changamoto wanazokutana nazo mabinti wenye kati wa huu umri

a)15-18
Huu umri hua ni umri wa barehe, na mala nyingi hua ni mabinti wa sekondari(O level).Kiukweli vibinti vya umri huu hua ni vibichi,ni vitamu kwa kuvitafuna.Hutaka kujaribu mambo mengi.Wazee wa kuhonga chipsi mayai na rifti za boda boda nakuhonga nokia za tochi na masharobaro wanyoa viduku wanavipitia sana.Kwaiyo akili yako kushikwa na hivi vibinti jiandae kisaikolojia

b)18-20
Huu ni umri mala nyingi hua ni wakujiunga kidato cha 5 adi cha 6.Mapenzi ya hapa kidogo hua yanadumu japo matokeo ya form 6 yakitoka jiandae kisaikolojia.

c)20-23
Huu mala nyingi hua ni umri wa kujiunga chuo.Kati ya sehemu ambapo uhusiano wa nyuma huvunjika kwa 98% ni tranformation ya kutoka advance kujiunga chuo.Ashki ya kuyajua na kuyafakamia maisha ya chuo kila mmoja anaijua.Katika maisha yangu nilishaapa kumpenda na kujiamini kabisa kwa msichana anayetoka advance na kujiunga chuo.Na mala 100 nisubili amalize ndo niwekeze kwake.Usipoteze muda kwa kitoto cha mwaka wa 1 na wa 2 ,hili hua jipu kubwa,vitoto vya umri huu hua ndo vipo kwenye kilele cha kujaribu maisha ya kila aina,kutembea na kila aina.Wenye fedha,viongozi,wasanii ,kwenda club na upuuzi mwingine mwingi hua ni huu umri

Akili hua zinaanza kuludi mwaka wa mwisho+.Kwa waliopitia chuo mwaka wa mwisho hata kama miaka ya nyuma ulikua hupewi salamu huu mwaka utapata sana

Kwangu mimi kuwekeza kwa msichana hua naamini ni kwa yule aliepitia fujo zote za mitaani na kuujua ukweli wa hii dunia,na hii mala nyingi hua ni wanawake wenye 24+.

Na mwenye kusikia na asikie

wasalaam
 
daaaa,,mkuu kwenye 20-23 daaa,umengusa sana ,yalinikutaa,but no way.
 
Hivi Hauwezi Kabisa Kutofautisha Matumizi Ya "L" na "R" Kwenye Misamiati Yako?

Ila kwa hawo watoto wa 1st year chuo umesema ukweli.. Nilikuwa na ka kangu ambako nilikatoa tangia kanasubiria matokeo ya form 4 miaka ya nyuma hapo. Kalivyokuja kuingia chuo baada ya kama miezi kadhaa kupita kakanipai simu yake siku nimpelekee kwa fundi wangu ambaye nilimuambia namuamini.
Wakati kameondoka nikasema ngoja niiwashe hiyo simu... Mama yangu nilikuta video Mazee anakala denda kwa birthday yakee Asee
 
Umenigusa hapo kweny transformation ya advance kwenda chuo. Yaliyonikta ctaxahau. Mtoto nimempenda, mim npo chuo yey advance, alipohtimu na kufaulu then akakijua chuo vzur alibadilika gafla. Mara mawig ya blue, mara sket fupi, mikucha ya bandia. Kiukwel nlidata.
 
Back
Top Bottom