Mahusiano, mapenzi, urafiki

Tubadilishane mawazo kuhusu familia, mahusiano, mapenzi, urafiki, n.k na kushauriana

On JF:

Baadhi ya vijitabia ambavyo huwa sivipendi na wanawake wenzangu wataniunga mkono,ni hii tabia ya wanaume wakati mnagegedana, Wakati mnagegedana,mwanaume anaposikia utamu na kuanza kusema manene...
16 Reactions
637 Replies
42K Views
Jamani wengine hatuolewi Wala hatutongozwi tunaishi maisha ya upweke sana. Wanaume wamekuwa wachache mno, na kwenye hao wanaume wachache baadhi yao wameamua na wao wawe wanawake, wanafumuliwa...
10 Reactions
352 Replies
19K Views
Juzi nikiwa nimekosa usingizi mnamo mida ya saa saba usiku nilisikia mwanamke akilalamika kimahaba baada ya muda wakaanza maongezi. Sasa basi nikaja kugundua ni mwanamke ambaye ni jirani yangu...
20 Reactions
288 Replies
45K Views
Kwanza niwajulishe hii story haijanitokea mimi. Nimeiona sehem mwanaume mwenzangu yamemkuta. Sasa basi twende kwenye mada; [http://2] Wajumbe mimi ni mwanaume mwenye umri wa miaka 33 ni...
8 Reactions
85 Replies
13K Views
Habari ya weekend wana Jf Maandalizi ya tendo la ndoa ni hali ya kumuandaa mpenzi wako ili apate utayari /hisia Kwa ajili ya kushiriki tendo la ndoa. Wanaume wengi wamekuwa Kero Sana hasa...
37 Reactions
360 Replies
37K Views
Yani siku za hivi karibuni nimekuwa mtenda dhambi Sana.
0 Reactions
51 Replies
5K Views
Wadau, Naombeni ushauri nina mpenzi wangu tuna kama mwaka mmoja kwenye uhusiano nilikua nimepanga kumvalisha pete mwezi ujao ila leo asubuhi nimetumiwa picha zake za utupu na mtu nisiyemjua...
1 Reactions
93 Replies
18K Views
Inasemekana kwamba, wanawake wenye dimples juu ya makalio, chini kidogo ya kiuno (butt dimples) wapo very sexy na wanaamsha sana hisia za mapenzi kwa mwanamume tofauti na asiye navyo.. Kwa...
1 Reactions
36 Replies
15K Views
Kama title inavyojieleza Baada ya kunyanyasika sana na mapenzi toka kwa vibinti vya miaka 15-26 sasa nimeona bora nitafute mtu mzima awe mpenzi wangu Mwanamke kuanzia umri wa miaka 35 na...
1 Reactions
21 Replies
3K Views
Natamani siku moja niolewe na mwanaume anayedaka mpira wa miguu kwa sababu huwa wananivutia tu jinsi wanavyopangua mashuti ya mipira. Yani natamani hizo akili wanazotumia kudaka mpira wazitumie...
7 Reactions
490 Replies
27K Views
Wadau nimeombwa kwenda kusuluhisha mgogoro wa familia ya jirani kesho asubuhi. Katika hali isiyo ya kawaida mabinti watatu wa familia wamenijia usiku huu,kwamba baba yao amewatishia kwamba ifikapo...
1 Reactions
81 Replies
9K Views
Habari za asubuhi wana MMU. Nafikiri hili ni suala linalozua gumzo sana, hasa hivi karibuni kwenye hiki kizazi chetu cha dijitali ambapo wanawake pia hawapo nyuma kwa kutaka kufanya mambo...
7 Reactions
1K Replies
135K Views
salaam, hakika sio Kila ulevi husababishwa na pombe. nahisi Nina Uraibu wakutongoza kwakweli, yaani kama mwanamke sio ndugu yangu akijiweka karibu namimi lazima nimtongoze hata kama najua huyu...
2 Reactions
9 Replies
947 Views
Wanawake wa siku hizi bado mnaendelea kunishangaza sana aisee nashindwa kuwaelewa inakuaje kabisa mwanamke bila haya au hiyana unanisimamisha mimi na kunitongoza? Aisee kwanza nilibaki nimeduwaa...
8 Reactions
43 Replies
2K Views
Nisaidieni wakati gan una GIVE UP kuendelea kumtongoza mwanamke baada ya kumsumbua sana
1 Reactions
50 Replies
11K Views
Salaam ndugu zangu, Upo usemi usemao mchumba hasomeshwi. Kila uchao na uchwao kumekuwa na vilio vingi kwa vijana wa kiume waliojitolea kuwasomesha wachumba zao kabla ya kufunga ndoa ila baadae...
4 Reactions
138 Replies
17K Views
Habari zenu, Poleni na hela hela za siku ya muungano na mipango mingi iliyosukwa mitandaoni. Kama ilivyo ada siasa ilinishinda siku ile alipotangazwa raisi wa awamu ya tano hivo hayo nawaachia...
3 Reactions
56 Replies
6K Views
Wadada mbona mnatia aibu na kichefu chefu sana kwa hizi njaa zenu? Nipo Moro town hapa,wakati nashuka mjini mdogo mdogo kutoka ghetto ,nakutana na wadada wawili wameegamia tax maeneo ya Morogoro...
2 Reactions
16 Replies
2K Views
Binafsi mpaka sasa nimeshawazaba ' Vibao ' Wanawake kama Wanne hivi na naona idadi yao itazidi kuongezeka kwani naona hawataki kubadilika na haka ' Kamsemo ' ambako sioni aibu kukaita ka '...
15 Reactions
270 Replies
24K Views
Kumekuwa na malalamiko mengi sana ya wanawake walioolewa kuwanyima unyumba waume zao ni kwamba mnakuwa mmewazoea sana waume zenu kiasi mnakosa hamu ya tendo la ndoa? Mnakuwa mna matatizo ya...
39 Reactions
810 Replies
45K Views
Back
Top Bottom