Mahusiano, mapenzi, urafiki

Tubadilishane mawazo kuhusu familia, mahusiano, mapenzi, urafiki, n.k na kushauriana

On JF:

Mke wangu ame hack simu yangu kila jambo ninalofanya anajua nifanyeje? Mapenzi yamepungua kutokana na yeye kudai kwamba nina mawasiliano na mademu wengi. Sasa nashindwa la kufanya ...yeye...
9 Reactions
106 Replies
7K Views
Wanaume ambao ni malaya wanaosumbua wanawake zao ni wanavibamia . 1. Huwapiga wake zao 2. Huwa wanavurugu sana 3. Huwa wanajiona wanajua 4. Wanawake wengi mno kila mtu yeye . 5. Huwa hawana amani...
8 Reactions
173 Replies
5K Views
  • Poll Poll
Nimepatikana aiseeh, mapenzi ni upumbavu tu 💔❤️‍🩹, 2025 uwe mwaka wa mwisho wa mambo ya kupendana. Kama ni lazima sana, basi tubaki na ngono tu kwa ajili ya kuzaliana ila mahusiano yasiwepo...
12 Reactions
143 Replies
4K Views
This is very interesting for me Nimejikuta kwenye deep love na bint mwenye ujauzito wa miezi minne. Ila anasema mwenye mimba amekataa kwasababu alikuwa anataka mwanamke aitoe..so kwakuwa mwanamke...
10 Reactions
82 Replies
3K Views
Katika upembuzi wangu yakinifu wa kuzibonda mbususu, nimegundua hili: wanawake wote ninaolala nao nikiwaweka style nyingine hawafiki kileleni, lakini wakikaa kawaida cockroach 🪳 death lazima...
27 Reactions
127 Replies
5K Views
Mwanaume wa haja ni yule anaejiweka vizuri muonekano pia hata kimwili hili kupelekea mwanaume kunywa pombe, kitimoto, nyama choma, na bia bila mpangilio imepelekea wanaume wengi kuwa na vitambi...
5 Reactions
227 Replies
40K Views
Salaam, Wandugu hapa jirani kwangu kuna watu wananishangaza sana. Ni hivi; Hapa kuna familia ya baba mama na watoto wadogo 3. Sasa baba alikuwa anafanya kazi kwenye kampuni binafsi. Kutokana na...
2 Reactions
67 Replies
8K Views
Unakuta mdada single mother au yupo kwenye ndoa anataka kuchepuka anambeba na mtoto mbaka eneo la tukio. Unamtia mtoto majanaba bila sababu za msingi, unakuta wamekalaza katoto pembeni ya kitanda...
3 Reactions
10 Replies
714 Views
MKE WANGU AMEJIFUNGUA MTOTO WA KICHINA NA SISI WOTE NI WA AFRIKA TENA WEUSI. Kaka habari yako ndugu yangu, mimi umenikuta msala tena mzitoo, msala wa aibuuu kaka nimevuliwa nguo!!!! Mimi na mke...
5 Reactions
64 Replies
4K Views
Mteja: Madam Penny, nisaidie na hili Mpenzi amefosi nimemwambie ukweli na uongo kuhusu mimi sasa ameninunia, nifanyaje? Money penny: ukweli gan na uongo gan, sijaelewa Mteja: amenifosi...
2 Reactions
6 Replies
572 Views
Wakuu, ninajaribu kuwaza hapa sasa kwenye kuwaza kwangu ningependa niwashirikishe na nyinyi mpate kuwaza na tujiulize kwa pamoja kwenye kuwaza huku nipo sahihi au sipo sahihi au nimetafasiri...
1 Reactions
3 Replies
335 Views
Igweeeeeeeeeeeeeeeeeeee! Kitambo sijaingia humu kwa sababu tofauti tofauti ikiwemo kukosa simu ya smart amini mmsiamini! (Either way life facks us all sometimes) At my prime nimekula sana pesa...
31 Reactions
138 Replies
13K Views
Sifa zifuatazo Asiwe mfupi Umri kuanzia miaka 20-25 Dini awe Muislam Elimu angalau awe na D mbili kwenye cheti chake cha shule Kabila lolote
0 Reactions
0 Replies
300 Views
Mwaka 2013, tarehe 8 mwezi wa pili ndio siku niliyomla mke wa kaka yangu kabisa. Sitakuja kuisahau. Kaka yangu ni mtu wa safari sana, muda mwingi alikuwa hashindi nyumbani. Kipindi hicho...
70 Reactions
663 Replies
206K Views
Huwa wanapata wanawake kwa kutumia external signifiers kama pesa, so wanajua kabisa wanapendewa kwa something unnatural. So pesa wanatafuta kwa shida, na mwanamke wanampata kutumia hiyo pesa...
9 Reactions
48 Replies
2K Views
Nahitaji mwanamke wa kunichezea ,kuniharibia maisha na uvulana wangu.
1 Reactions
13 Replies
573 Views
#PilikaPilika "Wanawake wengi wanataka usawa 50/50 lakini kwa Kwa mfano tukisema wanawake wote waende vitani halafu wanaume wabaki nyumbani, mtakubali nyie??....kwahiyo mnataka usawa kwenye vitu...
7 Reactions
44 Replies
1K Views
Wakuu, Udugu kwa sasa taratibu unaenda unapoteza thamani,imebaki tu kuwa yule ni ndugu yangu lakini ukifika wakati wa shida kila mtu anapambana kivyake,na hata akiamua kukupa msaada huyo ndugu...
4 Reactions
3 Replies
322 Views
Jamani naombeni ushauri. Ni miaka 9 ya ndoa sasa ila mke hata dalili za kula maembe mabichi hakuna. Mwisho wa siku kanigeuzia kibao eti mimi ndiye jipu, eti mbegu zangu kimeo, nikimwambia twende...
7 Reactions
228 Replies
34K Views
Back
Top Bottom