Mtoto wa form three anataka kuvunja ndoa yangu

Jini Kisiranii

JF-Expert Member
Feb 20, 2018
1,626
1,676
Kwanza niwajulishe hii story haijanitokea mimi. Nimeiona sehem mwanaume mwenzangu yamemkuta.

Sasa basi twende kwenye mada;
[http://2]

Wajumbe mimi ni mwanaume mwenye umri wa miaka 33 ni mwajiriwa wa Serikali, nimeoa na nina mtoto wa kiume mwenye umri wa miaka 3.
Licha ya kwamba niko kwenye ndoa, lakini ilitokea siku moja asubuhi nikiwa barabarani na gari langu nikitokea nyumbani kwangu Mitaa ya Kihonda Magorofani nikielekea kazini Morogoro mjini, nilikutana na mwanafunzi kavaa sare za shule na alikuwa akielekea shuleni nae.

Nilisimamisha gari na kumuuliza kama anaenda shuleni maana baada ya kuona sare alizovaa niliweza kutambua ni shule gani anasoma. Baada ya kumuuliza kama anaenda shule aliitikia kwamba anaenda shuleni, nilitoa lock ya milango ya gari nikamwambia apande nimsogeze kidogo.

Cha kushangaza niliona akifungua mlango wa mbele na kuingia maana nilikuwa peke yangu. Niliondoa gari tayari kuendelea na safari, tukiwa njiani niliweza kumuuliza jina lake, wazazi wake kadhalika tulipeana hadi namba za simu.

Baada ya siku mbili alinitumia meseji iliyosomeka hivi."Shikamoo, habari ya kazi? Nimeona sio vizuri kukaa kimya wakati juzi ulinisaidia nikawahi shuleni. Jioni njema na karibu nyumbani."

Bahati mbaya hiyo meseji sikuweza kuijibu maana nilikuwa niko na mke wangu na zaidi niliifuta baada ya kuisoma. Baadae nilitafuta nafasi nikampigia kumjulisha meseji yake nimeipata akadai amefurahi sana kusikia sauti yangu. Na mimi kama mwanaume nikamuomba atafute muda japo siku moja tukutane tena tuongee. Alikubali na kuniahidi nimtafute siku za Ijumaa jioni, Jumamosi na Jumapili maana hizo siku anakuwa free.

Ilipofika Ijumaa nilimtafuta tukaenda hotel moja nje kidogo ya mji tukaongea sana na ikafikia hata mimi nikamwambia namtaka, alionekana mpole na akakubali ombi hilo pia akaomba tukutane siku inayofuatia ambayo ni Jumamosi.Tuliingia kwenye gari nikamuacha jirani na nyumbani kwao na mimi nikarudi kwangu.

Jumamosi mida ya saa 8 alinibeep nikampigia then nikamwambia ajiandae ndani ya nusu saa nitampitia. Time ilipofika nilimpitia sehemu tuliokubaliana tukaelekea sehemu husika, huko huko ndio tulipeana mapenzi(nilimgegeda effectively). Baada ya siku hiyo kugegeda ikawa continuously.

Ila shida imekuja sasa huyu binti anadai nimpeleke nyumbani kwangu ili nikamtambulishe kwa mke wangu ili wafahamiane. Nimejaribu kumshauri kwamba yeye bado ni mwanafunzi hivo atulie kwanza amalize masomo yake lakini hanielewi. Anadai kila siku asubuhi niwe nampeleka shuleni na jioni kumrudisha kwa gari langu. Hilo nalo nikamshauri kwamba isiwe kila siku ila pale tukapoona inafaa bado haelewi.

Nimemkataza kunipigia simu au kutuma meseji hasa mida ya usiku maana mke wangu atanielewa vibaya hilo nalo haelewi.

Amechukua namba ya simu ya mke wangu kwenye simu yangu bila mimi kujua na kumpigia simu mke wangu nae akiwa kazini kwake akimtaarifu kuwa yeye ni mke mwenzie na baadae kurusha meseji kibao akidai huo ni utambulisho tosha. Kwa ujumla siku hiyo hayo yote yalipotendeka mimi na mke wangu hatukulala kwa amani kabisa, mke wangu alilia karibu akataka kukesha.

Nilimfuata yule binti nikamuonya vikali nusura kumchapa makofi na nikamwambia simuhitaji tena ila yeye kakomaa kwamba kama nataka kumpiga sababu ya mke wangu basi na nikimuacha anajiua na kuacha ujumbe ameenda mbali kuniambia kwamba nimemuharibia akili zake maana toka nifanye nae mapenzi hana hamu kabisa ya kusoma au kwenda shuleni.

Wakuu nifanye hapo, kuna hatari mbili ambazo ni:
1. Ndoa kuvunjika (wakati tayari tuna mtoto)
2. Kwenda jela (ukizingatia huyu ni mwanafunzi)
 
Hahaha kama hii ishanipata wakuu, ila si kama hii exactly. Katoto kenyewe kalikuwa hakahitaji kusikia usinipigie nipo na wife. Yaan hata saa tano usiku kanataka kuongea ama kuchat lazima uchat tu. Nikawa nazima simu wkt wa kulala wife kanimaind so nikawa namute tu ama flight mode
 
Kama ingelikuwa kweli ningelifurahi kulisikia jibu sahii kwani walikwisha kukumbana nayo hawawezi hata kuelezea yaliyo wapata. Mtu aliikimbi familia na kumtelekeza mke na kazi pia. Tena kahama nchi
 
Nimejikuta nacheka kama mazuri,ila hapo yote yanakuhusu mkuu
1.Ndoa itavunjika
2.Sketi ya shule utaiacha
3.Kazi na utumishi utapoteza
4.Mwanao utamwacha
5.Utakula mvua 30 na kwa umri wako utatoka na 63 kama kesi ikiwahishwa,ukikaa sana mahabusu hata 70 itakuhusu na utatoka ukiwa ushakata ringi na marinda yote ushatatuliwa.
 
Hahahahahahahah kaka!!!!!!!!!!!!!!!!!

Dah!

Hivi unamtamanije mwanafunzi?

Fine kibinadamu huwezi kujizuia kutamani lakini unajiruhusu vipi kuact upon that na kuanzisha mahusiano naye?

Ni mtoto huyo! Haja mature! Yuko unstable! Haelewi maisha! Hajui nini anafanya!

Ndio maana yanakutokea yanayokutokea. Hivi umri huo bado unakimbizana na wasichana wanaohitaji kuomba ruksa kwa wazazi wao ya kufoka nyumbani, tena kwa kudanganya?

Hukuwaza vizuri kabla. Pambana na hali yako.
 
Wanaume wa siku huzi tumekua diluted..yani kesi ndogo kam hii unahitaji ushauri..really.. I wonder how umeweza ingia kwa ndoa wakati huwezi kufanya maamuzi madogo kama haya..
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom