Natafuta mke/Mpenzi umri kuanzia miaka 35

Sigara Kali

JF-Expert Member
May 28, 2017
3,623
8,428
Kama title inavyojieleza

Baada ya kunyanyasika sana na mapenzi toka kwa vibinti vya miaka 15-26 sasa nimeona bora nitafute mtu mzima awe mpenzi wangu

Mwanamke kuanzia umri wa miaka 35 na kuendelea namwitaji zaidi

Umri wangu ni miaka 31, so huyo mmama najua ntaendana nae sawa

Awe anaweza kujishughulisha sio kukaa tu home kusubiri nimletee mazaga zaga

Kama kuna Jirani yako mmama hajaolewa na ana gundu la kutoolewa/kupata mpenzi mwambie gundu lake limepata suluhisho,so mfikishie ujumbe aje PM

Sifa zake awe mwembamba tu mweusi au mweupe(Asijichubue) na hata kama kazaa fresh tu ntampenda seriously
 
Mkuu kwa sifa hizo lazima uwapate Mkuu!

Ila wanasema kuoa mwanamke wa 30's ni sawa na kununua gazeti jioni!
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom