Burundika na Mahaba ya Kasie....

Burundika na Mahaba ya Kasie....

Kasie

Platinum Member
Joined
Dec 29, 2013
Posts
22,805
Reaction score
43,230
Habari zenu,

Poleni na hela hela za siku ya muungano na mipango mingi iliyosukwa mitandaoni. Kama ilivyo ada siasa ilinishinda siku ile alipotangazwa raisi wa awamu ya tano hivo hayo nawaachia wenyewe. I think one need to study or graduate in political science so as not to be frustrated on politics.

Basi kama kichwa cha uzi kisemavyo lengo ni kiwaburudisha na burudani yenyewe ni mziki....

Ukihitaji partner wa kucheza nae basi jibu nahitaji partner Kasie niko kwa ajili yenu leo.



Kasie Mahaba Matata Kasiba.
 
Kasie mamitooo, nahitaji partner ila njoo peke yako....usiku huu sihitaji vibaka na sina nguo zaidi ya boxer hapa nilipo. Ukija mlango wa kuingilia sijafunga, nimeegesha tu kwa ajili yako.
 
Kasie mamitooo, nahitaji partner ila njoo peke yako....usiku huu sihitaji vibaka na sina nguo zaidi ya boxer hapa nilipo. Ukija mlango wa kuingilia sijafunga, nimeegesha tu kwa ajili yako.

Hahahahaaa this is kidnapping looh....

Partner in the dancing floor that's what I mean. The weekend is on.....
 
Back
Top Bottom