Mahusiano, mapenzi, urafiki

Tubadilishane mawazo kuhusu familia, mahusiano, mapenzi, urafiki, n.k na kushauriana

On JF:

Mke akiamka hakuna zaidi ya kukaa koridorni wakipiga habari za familia yao, na umbea wa kutosha. Huyu kijana ana 35+ hana kazi, hataki kazi. Mama yao ni mkulima kijijini, akiteseka kwa ajili ya...
1 Reactions
0 Replies
177 Views
Za kwenu wakuu? Jana usiku tulizozana na wife,nikaudhika nikazira kula msosi,nikajua labda angekuja chumbani kunibembeleza kula.matokeo yake naona mtu kaja chumbani kaingia bafuni kaoga kapanda...
11 Reactions
54 Replies
2K Views
Wakuu, Kama Kuna sehemu nmekosea labda mnambie ninyi. Kuna sehemu nna kibanda Cha wapangaji wanne huwa nakipangisha, Sasa Kutokana na mkataba. Kila mpangaji ananilipa Kodi yake kutokana na...
24 Reactions
103 Replies
5K Views
Bwana Yesu asifiwe wapendwa? niko katika mahusiano na wanawake wawili ingawa wao kwa wao hawajuani,imani yangu ya dini inanitaka kuwa na mwanamke mmoja tu lakini imani ya kabila langu inaniruhusu...
2 Reactions
19 Replies
2K Views
“My Wife Abandoned Me When I Was Banned from Football & Lost My Fame” Paul Pogba said it in an Interview. Chanzo: The Nairobi Times Kuna mwingine Mumewe yuko Wodini Muhimbili akiwa Kalazwa Mkewe...
32 Reactions
132 Replies
5K Views
Kama ukiwa unaenda kufanya Mapenzi iwe Ghettoni Kwako au Guest House au Lodge na Mpenzi / Demu wako halafu ile mnaingia tu Chumbani mnataka kuanza kufanya ' utinduano ' Yeye anakuomba Kwanza aende...
12 Reactions
120 Replies
14K Views
Asante stakehigh kwa kutukumbusha kuhusu Afya. Mimi huwa nafanya mazoezi, najali lishe na si mpenzi wa sukari. Siongezi sukari kwenye chai, kahawa, juisi wala situmii soda au chochote chenye...
6 Reactions
137 Replies
4K Views
Wikiendi ndio inaanza hivyo wakuu. Na ili ipendeze na kufana vizuri zaidi, ni muhimu kuwepo na maua mbalimbali yanayovutia na kunukia vizuri. Nimeuza debe zangu mbili za mpunga, mfuko umejaa...
2 Reactions
6 Replies
290 Views
Watanzania Salam tuachane nazo tu. Juzi jioni natoka kazini nikakutana na binti mmoja ambaye kiumbo alinivutia! Ikabidi nimsalimie. Mara baada ya salaam nilimwomba tuzungumze japo 5minutes...
20 Reactions
64 Replies
3K Views
Jaman, baadhi ya wanawake walioolewa wanajisahau sana. Unakuta mchafu, ananuka jasho, haogi kwa wakati, hata kufua kwake ni mtihani. Kuna hawa wake za watu walioajiriwa, jamani, hata kama...
21 Reactions
198 Replies
6K Views
Kama mada inavyojieleza Hawa mabinti wa umri tajwa ni pasua kichwa na wanaweza wakakupeleka jela hivi hivi Nna experience na hawa mabinti ,ni watamu unaweza kula kote kote Ila ni wasumbufu...
13 Reactions
205 Replies
31K Views
Nlikua nmekaa kwenye hiace mda si mrefu naelekea town Morogoro akaja mdada /mmama anachati nikaona anaulizwa tunakutana wapi mme wangu huku jamaa (Anko fred) akiwa anapga simu haikupokelewa...
0 Reactions
33 Replies
5K Views
Habari nahitaji apps nzuri nipate demu wa mbele nitoke ki maisha online dating au online sex nahitaji dem wa kizungu msaada
0 Reactions
16 Replies
5K Views
Habari za mchana, Nimekuwa na shughuli nyingi kipindi hiki cha kufunga mahesabu ya mwaka kiasi kwamba nakosa muda wa kujiachia kinaga ubaga nikiwa humu, Yaani naingia kwa kuibia kisha narudi...
8 Reactions
51 Replies
5K Views
Kuna baadhi ya wanawake watu wazima wanakuwa na tabia za kibinti. Natambua ni tamanio la karibu kila mwanamama kuonekana mdogo, asiyezeeka na mzuri wa sura na umbo hata kama kibailojia...
3 Reactions
67 Replies
10K Views
Naweza kusema nilijichanganya Sana kwa huyu mwanamke Ni mwanamke ambaye nimefunga nae ndoa na tuna watoto watatu Kutokana na mwenzangu kuwa mwajiriwa tumekua tukiishi mbalimbali japo sio Sana...
15 Reactions
82 Replies
4K Views
Kuna Demu mmoja nilikuwa ' nikibanduana ' nae tokea January 2018 hadi March mwishoni hivi na nakumbuka nilikuwa nabahatisha mno kuokota Pesa zilizodondoshwa barabarani na Watu na hata ' madili '...
3 Reactions
44 Replies
8K Views
Ilikuwa kama utani mwaka 2013 tukiwa kwenye daladala za Kimara - Posta. Nilimtongoza akanitunuku na mimba ya mtoto wa kike ikapatika na akajifungua salama salmini. Kifupi nimekuwa nikitoa huduma...
14 Reactions
173 Replies
14K Views
Tupeane tips za kuzingatia kabla mambo hayajaharibika
1 Reactions
126 Replies
21K Views
Familia ya Bwana Gerald ni familia yenye amani furaha Na upendo. Ndoa ya Gerald Na Atu Ina miaka 18 Na wamebahatika kupata watoto watatu, Bupe miaka 17, Bumi miaka 14 Na Peter miaka 12. Kwa miaka...
0 Reactions
59 Replies
8K Views
Back
Top Bottom