Pole,katubu na uache hizo dhambi japo hujasema ni zipi.Yani siku za hivi karibuni nimekuwa mtenda dhambi Sana.
Pole mkuu inaonekana unafanya sanaa anasa jina la id yako ni kielelezo tosha kabsaaaa.Yani siku za hivi karibuni nimekuwa mtenda dhambi Sana.
Najuta sana kwa hili jambo.
#7 replies
90 views.
[emoji4]
[emoji16][emoji16] [emoji115][emoji115]Mrudie Mungu hujachelewa bado.
Mkuu hulalagi[emoji16][emoji16] [emoji115][emoji115]
Hahah!! Nalalaga bhnMkuu hulalagi
Majani[emoji16][emoji16] [emoji115][emoji115]
Kweli kabisa Mkuu,angeweza kupata ushauri zaidi ya jinsi ya kuachana nazoMkuu si ungeainisha japo dhambi mbili tatu ambazo huwa unazitenda sana???
Unataka kumuangamisha,umpe na kitubio kabisaMkuu si ungeainisha japo dhambi mbili tatu ambazo huwa unazitenda sana???