nNawasitiri wale madaktari wa kitengo cha ushauri nasaha juu ya ukimwi kuwa ukimwi hauonekani kwa kutazama mtu apearance yake!!! bali vipimo ndio huongea zaidi.
iko hivi mimi ni kama attendant...
wadada muwe na huruma na sisi kaka zenu huku maofisini. huyu secretary ni mke wa mtu leo kanifanyia makusudi ameliamsha dude mpaka muda huu linahema tu. kavaa nguo fupi halafu kaja ofisini kwangu...
ANAOMBA USHAURI:
Amenambia nisipomjengea nyumba nimsahau kabisaa namie moyo ndo umempenda sana dada huyu hadi nawaza kujiua kabisaa nifanyeje wadau namie ndo nimepanga kujiua kwa ajili yake
Nina rafki yangu kampenda mwanamke kakutananae Facebook mdani ya wiki mbili.Lakin wameanza na mipango ya ndoa mwez wa11 lakn chakushangaza huyu wanamke anamuomba sana hela kwakisingizio anaumwa...
Karibuni wazee wa jaza ujaziwe, wazee wa kuhonga, maneno pesa sauti kelele. Karibuni tuzidi kuboresha huduma zetu kwa hawa watoto wazuri
Sema tunakula hasara, one time Demu ananipigia simu...
Amani kwenu wadau
Jamani mpaka muda huu naandika habari hii ndio nimetoka hospital binafsi nilipokuwa nimepumzishwa nikitibiwa majeraha yaliotokana na kipigo kikali ambacho sikuwahi kukipata...
Mimi ni mwanaume, nina miaka 28 nina kazi yangu (mwajiriwa). Natafuta mwenzi wa maisha. Awe mkiristo, hasa Kanda ya ziwa. Umri 22-30 na asiwe mlevi.
Karibuni.
Halloo wanajukwaa, hope mko poa,
Mimi ni kijana wa kiume nina miaka 29 na nina maisha ya kawaida nipo Arusha, natafuta mchumba atakaye kuwa mke, vigezo: awe anaishi Arusha, awe na umri kuanzia...
Habari wana jukwaaa. Kuna jambo jema nataka kulifanya masiku ya usoni nalo ni kuoa natazamia kwenda maeneo ya Tabora kuchukua mzigo. Kwa wale wenyeji hususan wanyamwezi kuna taratibu zozote za...
Habarini,
Moja kwa moja niende katika hoja ya falsafa ya uzuri na ubaya kwa kulenga wanaume katika kuchagua wanawake kwani kumekuwa na mitazamo tofauti katika kuchagua wa kuishi nao au...
Kwa ndugu zatu waisilamu hongereni kwa mafungo ..
Niende kwenye hoja tajwa.,nimesikia wanawake wengi pale wanapokosewa au wanapotaka kuongea kitu cha kushusha thamani huwa wanatumia neno LA...
Kimsingi vijana wengi wanakumbwa na kadhia ya kukosa amani ya mahusiano sababu ya wimbi kubwa la usaliti miongoni mwao, tatizo ambalo linawasumbua hata wazee hivi sasa.
Nikijikita kwa vijana...
Tuwekane sawa hivi kwanini wabeba chuma wengi haswa wa kibongo hawanaga mbele yaani hamnaga kitu hapo mbele namaanisha wanavibamia inamaana nyama za chini zinahamiaga kwenye vifuaa au? Manake...