Me too
JF-Expert Member
- Feb 9, 2015
- 7,377
- 9,297
nNawasitiri wale madaktari wa kitengo cha ushauri nasaha juu ya ukimwi kuwa ukimwi hauonekani kwa kutazama mtu apearance yake!!! bali vipimo ndio huongea zaidi.
iko hivi mimi ni kama attendant pale sasa kuna mzee (50yrs) ivi na mbaba 35yrs ivi walikuja kupima afya walipotoka chumba cha daktari wakaambiwa waingie kwenye dawa wachukue
yule mzee ana dawa zake na huyu mbaba ana dawa zake.
kasheshe ilikuja pale walipo peleka karatasi ya dawa wale wauzaji (mabinti) wakauliza J (yule mzee) ndo nani? yule mzee akaitika ooh na K( yule mbaba) ndo yupi? yule mbaba akajibu ni mimi.
sasa kwakuwa wanajua ARV na madonge mengine huwq ni ya ukimwi kuna nesi alikuwepo hapo akimkodolea yule mbaba smart HB bonge mweupeee tall akiwa anatikisa funguo za gari alipoona anaandikiwa zile dawa za ukimwi alilipuka na kwenda kuwaomba wale wagonjwa aone hivo vipimo athibitishe huenda sio alipo viona akawaambia wamfate ofisini walipotoka mleofisini dawa za UKIMWI alipewa yule mzee na dawa za TB akapewa yule mbaba. yule mzee akamuuliza mbona kule nimeambiwa nna TB pia cd4 imeshuka hivo napaswa nitibu TB ila ukimwi sina mwenzangu ndio ameshauriwa anywe hizo dawa matunda navyakula kwa wingi ila yule nesi akalipuka zaidi nakujisahau akasema
HAIWEZEKANI MTU NA AFYA YAKE HIVI AWE NA UKIMWI babu nenda kameze hizo dawa huwa zinaongezaga cd4 zaidi.
wakapewa dawa wakarudi nyumbani.
haikupita wiki yule babu alirudi haongei pale hospital akaeleza kisa kizima alivoteseka kunywa hizo ARV na mengine yule nesi alihangaika na kumfichaficha yule babu akamuandikia dawa baadhi na kikaratasi kuwa kanywe dawa hizi ila onyo USIRUDI TENA HOSPITALINI HUKU
yule mzee alirudi ila dawa hazikusaidia ikabidi ahamishwe hospital ingine nakulazwa matibabu yakaanza upya.
alipopona akarudi hospital ile aliyofukuzwa na kufunguka yote yaliyomkumba hapo.
kuwa lengo la yeye ni kwenda kumsindikiza yule kijana walieenda nae ile siku maana usiku wake alimwendea na kumwambia ana ukimwi tangu 2012 ila anaogoaga kupima ila saivi anaona usaa na vidonda kwenye dyudyu hivo anaomba waende wote amsindikize yule mzee akaona ni sqwa amsaidie ili awahi hayo matibabu maana alisha anza na kuoza sehemu za akasema ye ataenda kucheki TB ila atapimana ukimwi ili kumpa kampani.
lakini chakushangaza walitaka kuniua kwa madonge ya ajabu kukonda huku sio kila akondae ni muathirika wengine ni TB kisukari kansa na mengine husumbua. /anasem)
yule mzee wa watu alisikitika sana na kumuonya yule nesi