jerry joshy
JF-Expert Member
- Jul 8, 2015
- 402
- 504
Tuwekane sawa hivi kwanini wabeba chuma wengi haswa wa kibongo hawanaga mbele yaani hamnaga kitu hapo mbele namaanisha wanavibamia inamaana nyama za chini zinahamiaga kwenye vifuaa au? Manake unakuta wapo flat kama wamepigwa pasi tatizo ni nini?
N:B Nataka kubeba vyuma naogopa kupoteza hogo langu nikawa kama wao!
N:B Nataka kubeba vyuma naogopa kupoteza hogo langu nikawa kama wao!