lup
JF-Expert Member
- Apr 23, 2015
- 2,514
- 2,736
Kwa ndugu zatu waisilamu hongereni kwa mafungo ..
Niende kwenye hoja tajwa.,nimesikia wanawake wengi pale wanapokosewa au wanapotaka kuongea kitu cha kushusha thamani huwa wanatumia neno LA papuchi
.mfano.. Mwanamke anakujibu kwa jazba kali 'usilinitee mazoea ya kiknuma..." Au usiniletee uknuma(wako) mimi" na unakuta MTU anayemwambia ni me au ke mwezake...
Hivi hawajui kuwa sisi wanaume tumawajegeaga hadi nyumba ili watupatie hiyo kitu..au hajui jinsi tunavyoiona ya thamani hiyo kitu.. Hawajui kuna wanaume hadi huwa wanalia ili wapewe hiyo kitu...
Inamaana hata wao ambao wanazo na ndio zinawaweka mjini wengini inamaana hawaoni thamani yake au hakuna neno lingine LA kuonesha ubaya wa kile anachotaka kusema.
Yaani papuchi wanaishusha hadhi wakati ndio inafanya mambo makubwa sana na ya heshima kubwa,mfano kuleta watoto,kupunguza msongo wa mawazo na mengine mengi..
Tafadhari changia huku ukisema heshima ya papuchi unayoifahamu!