Kwa wenyeji wa Tabora naombeni mnisaidie hili.

saede mbondela

JF-Expert Member
Feb 28, 2013
368
237
Habari wana jukwaaa. Kuna jambo jema nataka kulifanya masiku ya usoni nalo ni kuoa natazamia kwenda maeneo ya Tabora kuchukua mzigo. Kwa wale wenyeji hususan wanyamwezi kuna taratibu zozote za kimila katika posa?
Kama zipo ni zipoi hizo?
 
Tafuta mshenga toka kwa wala matobholwa, then mengine utayaelewa mf. ukiandaliwa kuku mzima (KUCHI) ukweni vipi umle peke yako pamoja na bonge la sima. Karibu mkwe, mengi utayafahamu ukifika nyumbani.
 
ukweli mnyamwezi ujiandae kisaikolojia yaani ni bahati sana kupata mwaminifu....yaan hawatoshekagi cjui kwann am here av been here for several years now...most of them ht wasomi ni ma-cheater! though r beautiful muonekano na niwataalam sana japo cjadate nao..
 
Back
Top Bottom