Prosecutor Herrera
Member
- May 7, 2017
- 10
- 1
Nina rafki yangu kampenda mwanamke kakutananae Facebook mdani ya wiki mbili.Lakin wameanza na mipango ya ndoa mwez wa11 lakn chakushangaza huyu wanamke anamuomba sana hela kwakisingizio anaumwa kilabaada ya wiki na anakua mkali.Ndugu yangu analalamika sana lakin ukimshaur ampuuze uyo mwanamke mnakolofishana...Naomba tumshaur