Male Eagle
Member
- Jun 19, 2013
- 76
- 15
Kimsingi vijana wengi wanakumbwa na kadhia ya kukosa amani ya mahusiano sababu ya wimbi kubwa la usaliti miongoni mwao, tatizo ambalo linawasumbua hata wazee hivi sasa.
Nikijikita kwa vijana.
Utafiti wa wazi unaonyesha kuwa vijana wengi wanafanya tendo la ndoa lakini hawaridhiki hali inayowapelekea kuhitaji kufanya tendo hilo kila wakati na kila anayemuona.
Kutoridhika ni zao la;
>>Kutojiandaa kifikra
>>Kutomuandaa mwenza kifikra na kimazingira.
>>Kutokuwa na ufundi juu ya tendo lenyewe.
>>Kutokuwa na kauli nzuri kabla, wakati na baada ya tendo.
>>Kutojua nini hasa mwenza wako anapenda afanyiwe wakati wa tendo.
>>Damu kutoendana hali inayofanya kutoridhika kwa mmoja wao. n.k
Sababu hizo tajwa na nyingine nyingi hupelekea walio wengi kutoridhika na hivyo kuhitaji kutafuta njia na namna ya kuridhika zaidi.
Wengine huwa na binti na akafanya naye Round 1,2 au hata 3 lakini bila kujiandaa vizuri kimwili, hisia na akili hakuna kuridhika na kama ni mwanaume ndiyo mwenye TABIA hizi basi binti lazima awe na wakumkuna vizuri sababu muda ambao kijana wa kiume amemaliza ndiyo binti hamu inapanda hivyo lazima alale na wanaume wawili siku hiyo.
Mnapoandaana vizuri na mkawa mnaendana ukamilifu wa tendo unakuwepo kwa % kubwa zaidi na kila mnapolifanya tendo lazima kila mmoja ataridhika na hawezi kuendelea kutamani nje na kutafuta wengine.
Hivyo wewe unayechepuka jua kwamba hujui MAPENZI ila una mwanamke au mwanaume kwa sababu nyingine ya ziada na si kwa sababu unamtimizia haja ya NDOA.
[HASHTAG]#MEZANI[/HASHTAG].