Mahusiano, mapenzi, urafiki

Tubadilishane mawazo kuhusu familia, mahusiano, mapenzi, urafiki, n.k na kushauriana

On JF:

wadada wengi hapa mjini wakipata mwanaume ambao hamgegedi inavotakiwa wanakimbilia kusema yule mwanaume surual wakati ukwel wanawake wa kizaziich kumridhisha sio mchezo kwa maana papuch...
3 Reactions
18 Replies
3K Views
Naitwa Richard age 27yrs naishi Dar maeneo ya Tabata, natafuta mwanamke mwenye sifa za kuwa kuja mke na mama wa familia awe mkazi wa Dar es Salaam. -Dini yeyote -Elimu yeyote -Umri usizidi 26...
1 Reactions
4 Replies
1K Views
Wakuu, poleni na hongereni na majukumu ya kila siku. Nimepata kisa cha ajabu sana. Nina mwanamke ambaye nilimkuta tayari ana mtoto wa mwanaume mwingine, niliridhika nae na kuishi vizuri na mtoto...
1 Reactions
28 Replies
3K Views
Hii imetokea kwa kijana mwenzetu, Alimchumbia binti akapeleka posa kisha mahari. Taratibu za ndoa zikaanza kwa pande zote mbili, yaani upande wa bwana harusi na bi harusi. Siku ya siku ikafika...
2 Reactions
27 Replies
5K Views
Hallo.. Heshima kwenu kwa kulea wanawenu bila babazao kujali, nampongeza mama yangu kwa ujasiri aliokuwa ameupata wa kunilea hadi hapa nilipofikia yaani daah. Nikiiona humu wanavyopewa majina...
8 Reactions
43 Replies
4K Views
Habari wanajukwaa Miaka miwili iliyo pita nilibahatika kuanzisha mahusiano na dada mmoja ambae anafanya kazi moja ya benki hapa dar. Hapo mwanzo mahusiano yetu yalikuwa ya kawaida sana ila siku...
1 Reactions
62 Replies
5K Views
Kwa wanaume ni kawaida au tuseme imezoeleka tu kawaida kukuta huyu ana mapengo, huyu ana meno ngiri, huyu ana meno ya njano sanaa, huyu meno yake yamearibiwa na wadudu, na vyote hivi jamii...
1 Reactions
60 Replies
8K Views
baada ya likizo ndefu ya kumaliza "mfungo" nlifanikiwa kupata wasaa wa kukaa na ndugu jamaa na marafiki. nina jamaa yangu ambaye naye nimemshauri kuwa ajiunge JF maana wakati flani anakuwa na...
1 Reactions
16 Replies
4K Views
Just thinking with my rough mind and realized this.. Mahusiano yetu vijana siku hizi ni ya ajabu sana, leo tuko pamoja baada ya mwezi tumebwagana,, tatizo ni kwamba hisia zetu zinafanya...
1 Reactions
2 Replies
872 Views
Swali: Kama kungekuwepo na sikukuu maalum kila mwaka ambayo wapenzi mke na mume wangeruhusiwa kuamua ama kubadilisha au kuendelea na wapenzi wao ni nani zaidi kati ya wanaume na wanawake ambao...
1 Reactions
5 Replies
907 Views
KUACHANA NA MPENZI WAKO AU MCHUMBA Kuvunjika kwa uhusiano au kusalitiana baina ya wapendanao kimekuwa kitu cha kawaida sana siku hizi. Angalabu zaid ya asilimia 95% ya vijana wamekumbwa au...
2 Reactions
11 Replies
9K Views
Imebainika kwamba nyoka dume na jike wafanyapo mapenzi jike huishia kumla dume anapomaliza kumshughulikia.Na pia nyoka jike ni kicheche na bado hutafuta dume ambalo ni strong character ili kufanya...
1 Reactions
26 Replies
4K Views
Mtu unapanga kwenda kumtambulisha mchumba wako kwa wazazi wa upande wa kiume alafu miezi mitatu nyuma unamkuta na michepuko utaenda kumtambulisha au utaacha? Karibuni kwa hoja wakuu wangu
1 Reactions
6 Replies
1K Views
Salam wanaMMU Ni binti mzuri, anayejiheshimu, very natural, na nataka kumpa usajili wa kudumu ili badae aje kuwa wife. Changamoto ni kwamba huyu malkia wangu yupo kidigitali zaidi, amekeketwa...
1 Reactions
60 Replies
5K Views
Heloooo! According to me I think men need 1.Comfortability 2.Refreshment 3.Stress free Men add more needs you expect from women Women need 1. Security 2.caring 3.Respect Women...
0 Reactions
65 Replies
4K Views
wadau habari zenu? naandika uzi huu nikiwa na huzuni kubwa hakika mapenzi yanauma jamani omba yasikukute! mchumba wangu amekua akinificha ficha juu ya hili lakini nimetumia maarifa yangu na...
5 Reactions
43 Replies
4K Views
Siku za karibuni zimeshuhudiwa mada takribani zaidi ya tano zote zikilenga walioachwa na wapenzi wao, nikimanisha wanaoitwa ma "x", ukijaribu kufuatilia kila maoni na shuhuda unaona wazi...
4 Reactions
32 Replies
5K Views
salaam wazazi wetu wanapenda sana vijana tuoe na wadada waolewe lakin mahali imekuwa kikwazo maana imebadilika kutoka zawadi mpaka biashara. uchumi wenyewe shida alafu watoto wenu ndo tunaenda...
1 Reactions
17 Replies
1K Views
Ebhana niaje? Kama kawa kama dawa Na makamuzi yanaendelea manake naona kila chocho kumejaa nyomi za watu wanashangweka sikukuu ya Eid, anyway sio kesi ila kilipofikia kipindi hiki cha sikukuu...
8 Reactions
91 Replies
15K Views
Habari wana MMU? Leo tuangalie baadhi ya mahitaji ya Mwanamme kutoka kwa mke/mpenzi wake. 1. Anahitaji kutoshelezwa ktk tendo la ndoa, (kushiba), kama unatumia sex kama adhabu na unavigezo na...
37 Reactions
215 Replies
16K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…