Mume/ Mke/ Mchumba wa mtu kuwa member wa dating sites

sab

JF-Expert Member
Jan 25, 2013
5,737
2,000
Wanatafuta tafuta, ndoa nyingi au mahuano mengi wengi wameingia tu na sio kwa upendo toka moyoni, sasa kama tunavyo jua hitaji la moyo hua na nguvu sana kuliko chochote, hivyo hata kama mtu yupo kwenye ndoa au mahusiano basi kama hitaji la moyo wake lazima ataenda kusaka popote hitaji lake la moyo
 

Ngoda95

JF-Expert Member
Sep 15, 2011
2,621
2,000
Kuwa mke,mume\mchumba ni kwamba umemalizana na shughuli ya ku date. Sasa kama shughuli imeisha bado unashangaa shangaa nini shughulini?!
Haha haha wengine ni fantasy zao tu an it is just for funny
 

Hunyu

JF-Expert Member
Aug 19, 2014
4,780
2,000
Katoe taarifa tu, maana hamchoki kufuatilia maisha ya watu.

Huwezi ukawa serious kila saa unakosa hata muda wa kurelax na kujoke na watu mbali mbali kujipima uwezo wako..
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom