dracular
JF-Expert Member
- Dec 24, 2013
- 770
- 1,075
Habari za majukumu wana jf wote.. Na Habari za weekend..
Bila kupoteza muda hebu twendeni kwenye maada moja kwa moja..
Mwenzenu nina mpenzi wangu ambae tumedumu kwenye dimbwi zito la mahaba yapata miezi mitano sasa..
Sikuwahi kumshuku wala kumhisi kwa ubaya wowote katika mahusiano yetu mpaka hapo juzi mambo yalipo haribika..
Kwa kweli ni binti mzuriiii na ninampenda maana ni mwembamba( kwa lugha ya mjini wanaita kimodo) na ndo ugonjwa wangu huo maana pia huwa na ndoto za kuja kiushi na mke kimodo na ndo awe mke wangu...
Kilichonifanya kuja hapa jukwaani ni kwamba huyu modo wangu kaniweka blacklist bila hata kosa lolote jamani..
Yaani tangu juzi nipo kwenye blacklist na kosa sina.. Nimejaribu kumpigia kwa namba nyingine simu yake inaita kama kawaida tu...
Hata mara ya mwisho kuchat,, yeye ndo alieanza kunitext ilikuwa ni saa 4:22 usiku wa juzi na text yake ilikuwa "hello my darling" mi nika mjibu "tell me sweetie" hapo hapo nikapigwa na blacklist eti...
Sasa wadau hebu naombeni ushauri jinsi ya kushinda hii vita aliyo ianzisha huyu kimbaumbau..
Maana kataniua kwa stress na mawazo...
Karibuni sana kwa ushauri mzuriiii