nyarunyange
Member
- Mar 8, 2017
- 7
- 10
Mimi ni mwanamke umri miaka 40.. Nina watoto..nahitaji kampani ya mwanaume alie single... Ambae aliachwa na mke au alifiwa, au aliacha mwanamke kwa sababu isiyoweza kuvumilika..awe anajiheshimu..awe mtulivu na kwenye maendeleo na asiwe tegemezi