Mahusiano, mapenzi, urafiki

Tubadilishane mawazo kuhusu familia, mahusiano, mapenzi, urafiki, n.k na kushauriana

On JF:

Wazazi kulala chumba kimoja na watoto, watoto kulala kwa jirani, watoto kukosa mahitaji muhimu kama chakula, mavazi, nauli ya shule, chakula shuleni, mila zinazofundisha watoto mapenzi, wazazi...
0 Reactions
14 Replies
2K Views
Habari za Majukumu ndugu Zangu.... Hapa naomba mnishauri njia za kufanya niweze kuachana nae na kumsahau kabisa huyu binti Bila kupoteza muda nianze na kusema .,Kuna binti mmoja aliyekuwa...
1 Reactions
21 Replies
4K Views
Kwanza niombe samahani kwa hili maana wamezidi hawa watu wasio jielewa, hv ni kwa nn baadhi ya watu wanapenda kuwavurugia watu siku zao kwann watu wanapenda kucoment ujinga, Matusi, dharau kwenye...
4 Reactions
20 Replies
2K Views
Mfano jamaa mmoja alienda umkweni akafika wakachinjia mbuzi wakala ikafika mida ya usiku kwenda kulala mama mkwe akampa sehemu yakwenda kulala ambapo kuna vitanda viwili akaambiwa hivi usitoke...
0 Reactions
23 Replies
2K Views
Nabaki najiuliza tu, huyu msichana amekumbwa na nini anasema anipendi ana mume mwingine lakini kutwa anaangaika kunipigia simu. Ebu nipeni msaada nimpe jibu moja tu mubashara akae kimya...
1 Reactions
17 Replies
2K Views
Nawasalimuni nyote wanajukwaa, na pia hongereni kwa kuendelea na kazi za ujenzi wa taifa. Na pia poleni kwa wale walioko kwenye mapito magumu. Kama swali linvyojieleza hapo juu. Naomba majibu...
0 Reactions
25 Replies
3K Views
Poleni na kazi wakuu ni story ndefu kidogo nina miaka 27, miaka miwili iliyopita nikiwa chuo mwaka wa tatu kuna mwanamke nilimpata naye alikuwa mwanafunzi pia mimi nilikuwa nimepanga maeneo fulani...
7 Reactions
65 Replies
10K Views
Wakuu habari zenu, Mimi naitwa Elias. Nikiwa chuoni mwaka wa kwanza mwaka 2012 nilipoteza kaka yangu niliyekuwa namfatia kuzaliwa, ifikapo tena mwaka 2014 nikiwa bado chuoni nikafiwa tena na...
0 Reactions
19 Replies
1K Views
WanaJF habari zenu, Ndugu yenu kuna shida kidogo hapa, kuna msichana anadai hataki kusex ila anataka nichezee mwili wake basi. Nisaidieni ushauri nifanyaje maana huu ni mtihani nisiojua majibu yake.
1 Reactions
60 Replies
5K Views
  • Closed
Habari za jioni mabibi na mabwana wa MMU, Kasie huyuhuyu mnayemjua na kumuona humu JF propozo imemdondokea na ameafiki kusheherekea sikukuu za Christmas na mwaka mpya akiwa na Smart911 na hii ndo...
12 Reactions
1K Replies
75K Views
1. Umempa mimba mara tatu mwanamke wako, mara zote umemshinikiza azitoe halafu unamuacha, unaenda kuoa mwanamke mwingine. Halafu bado unajiita mwanaume. 2. Unamnyanyasa na kumpiga mkeo...
12 Reactions
61 Replies
6K Views
Niko na binti mmoja ana miaka 18 na nimemzidi miaka minne sasa huyu mtoto yupo advance anadai ananipenda kweli na mimi pia vivi hivo. Lakini ishu ni kwamba uyu binti anatakaa mimi ndo nimuoe na...
0 Reactions
12 Replies
2K Views
Habari za muda huu wanabodi, bila shaka nyote wazima wa afya. Ama hakika hapa duniani kuna mambo ya ajabu sana, ambayo tunafanya sisi binadamu hasa kwa sisi wanaume pindi tu pale utakapo amua...
5 Reactions
22 Replies
2K Views
Mwanamke 1.Utegemee kupewa pesa ya kununua pedi. 2.Mwanamke utegemee kupewa hela ya kusuka. 3.Showoff za ajabu wakati hata hela ya lipstick umeomba. Mwanaume 1.Utegemee kupewa pesa na mwanamke...
18 Reactions
68 Replies
5K Views
Kwakweli katika maisha yangu, kwenye safari zangu, lazima nihakikishe nina kondom japokua sina appointment na demu yeyote yule,.. Lakini huwa najisikia amani ninapotambua kwenye begi yangu zipo...
0 Reactions
17 Replies
1K Views
HIVI inakuwaje mdada amezaa na mwanaume mtoto lakini kwa miaka mingi huyo mdada hakuwahi kumuonesha mtoto baba yake halisi alikuwa amemficha . Sasa kuna utata umeibuka sehemu kuna Kijana...
0 Reactions
8 Replies
1K Views
Heloow natumain mko pow kabisa, na ashukuliwe mungu kuiona siku ya leo, na kwa wale wagonjwa bc polen San tu pamoja nanyi kwenye kuwaombea, OK Ombi lang kwenu ni moja tu nahitaji marafik wa...
0 Reactions
19 Replies
1K Views
Mwanake nadhifu anavutia sio tuu kwenye macho ya wanaume pia katika jamii nzima. Unadhifu huu sio wa mwili wake pekee bali na mazingira anayoishi hasa nyumba yake kwa ujumla. Wanawake siku hizi...
4 Reactions
23 Replies
5K Views
Aisee wadau sikujua kama kuna wasichana wanamna hii, iko hivi; Kuna jamaa yangu kapata msichana mpaka sasa ni miezi tisa wapo na msichana wake. Kiukweli mshikaji wangu alikuwa kicheche sana...
20 Reactions
302 Replies
23K Views
Habari wana Jf ? Hivi ushawahi jiuliza hivi kwanini unaoa au kuolewa maana mi binafsi naiona moja tu ntaoa ili nipate familia sijui, wenzangu mtaoa au kuolewa ili iwaje? Sent from my SM-J320F...
0 Reactions
21 Replies
5K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…