Kama ni wewe ungefanyaje.?

Kama ni wewe ungefanyaje.?

Jozee mkunaji

JF-Expert Member
Joined
Jun 11, 2017
Posts
459
Reaction score
614
Mfano jamaa mmoja alienda umkweni akafika wakachinjia mbuzi wakala ikafika mida ya usiku kwenda kulala mama mkwe akampa sehemu yakwenda kulala ambapo kuna vitanda viwili akaambiwa hivi usitoke usiku huku kuna simba wakali maana choo kiko msituni jamaa akaingia kulala pembeni tena kuliku na mtoto amelala jamaa akabanwa mkojo akaenda kumtoa mtoto alipo lala akamhamishia kwake akakojoa pale kwenye kitanda ile tu anpoenda kumhamisha akakuta kanya kwenye kitanda chake usicheke kama niwewe ungefuanya je?
 
Wahenga mnatushughulisha sana jamani!

Post sent using JamiiForums mobile app
 
Ngumu kumeza au kutema

Post sent using JamiiForums mobile app
 
Hahaha,ningegeuza godoro,juu chini

Post sent using JamiiForums mobile app
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom