Gundu inakuaje mzeeSababu ni nyingi na hutegemea mtu na mtu...
Wengine wanaoa ili kupata wenza wa kudumu, wengine ili kuachana na biashara ya kutongoza mara kwa mara, wengine ili kuzaliana kwa nafasi, wengine ili kupata uhakika wa mtu wa kujamiiana naye kila apatapo hamu, wengine kutafuta company, wengine kuondoa upweke, wengine kukidhi matakwa ya kiukooo au kifamilia, wengine kuondoa gundu, wengine msukumo wa kidini n.k
Wako watu huamini kama haolewi au haoi basi ni kwa sababu ana gundu so atatafuta mtu amuoe kwa njia yoyote ile ili aondoe gundu.Gundu inakuaje mzee
Sent from my SM-J320F using JamiiForums mobile app
Aonekane nae alioaga kwenye hii duniaGundu inakuaje mzee
Sent from my SM-J320F using JamiiForums mobile app
We jamaa unaongea pumba sana.Kwasababu ule mchezo mtamu
Mzee utapigwa ndoa ya mkeka mana siku hizi hawataki watoto wao wazalie homeSio Lazima Kuoa au Kuolewa wengine wanataka Tuwajaze Mimba hawataki Kuolewa
Sent from my TECNO-J7 using JamiiForums mobile app
Ndoa za siku hizi hazina maana zaidi ya ngono na show off kwamba fulani nae kaoa na kuoa wanaoana ili kuficha matendo yao ya ajabu ajabuMbona wakioana sio wazinzi tena mkuu
Sent from my SM-J320F using JamiiForums mobile app
Sina uhakika sana na hili mkuuHapa naona wanawake ndo wanakuwaga na lengo hili mkuu
Sent from my SM-J320F using JamiiForums mobile app
Ila kwa kuficha matendo ya ajabu ni kwl mkuu ila anaye ongoza kati ya mwanamke na mwanaume nani kamzidi mwenzieNdoa za siku hizi hazina maana zaidi ya ngono na show off kwamba fulani nae kaoa na kuoa wanaoana ili kuficha matendo yao ya ajabu ajabu
Hawazidiani ... Wote wanalinganaIla kwa kuficha matendo ya ajabu ni kwl mkuu ila anaye ongoza kati ya mwanamke na mwanaume nani kamzidi mwenzie
Sent from my SM-J320F using JamiiForums mobile app
Kupata hela hapa ndo kila kitu wanawake wataka waolewe eti wawe na uhakika wa hela za kula tu na show offWapo wanaoolewa kupata uhakika wa milo na hela ya mchezo...
Wapo wanaoolewa jamii iwaone nawao wamepata wakuwastiri...