the happiest man
JF-Expert Member
- Nov 12, 2016
- 253
- 218
Poleni na kazi wakuu ni story ndefu kidogo nina miaka 27, miaka miwili iliyopita nikiwa chuo mwaka wa tatu kuna mwanamke nilimpata naye alikuwa mwanafunzi pia mimi nilikuwa nimepanga maeneo fulani karibia na chuo huku yeye akiwa anakaa hostel niliahidi moyo wangu kuwa sitamsaliti kwa kutembea na ke yeyote zaidi yake lakini shida alikuwa hataki tufanye sex japo mara nyingi alikuwa anakuja home(geto).
Mbaya zaidi tulikuwa tunafanya vitu vya kusisimuana hisia ila inapofika swala la kufanya ndio tatizo nikaomba isiwe tabu nikimchezea nyege zikipanda naingia zangu maliwato. Najilipua ikaendelea hivyo mpaka imekuwa ni tabia sahivi nimeajiriwa nikitoka zangu kazini pamoja na uchovu najilipua, mbaya zaidi nimekuwa mtu wa kujiweka alone na nikirudi home najifungia ndani nawasha tv channel zimeshanizoea.
Naombeni msaada how shall i get out of this situation plz. Kwa mawazo yangu nahisi naharibu nataka niache.
NB. Kama kunadawa au chochote plz kwa gharama yoyote nicheck pm