Anipendi lakini bado ananisumbua

Anipendi lakini bado ananisumbua

Askari Muoga

JF-Expert Member
Joined
Oct 22, 2015
Posts
6,112
Reaction score
4,663
Nabaki najiuliza tu, huyu msichana amekumbwa na nini anasema anipendi ana mume mwingine lakini kutwa anaangaika kunipigia simu.

Ebu nipeni msaada nimpe jibu moja tu mubashara akae kimya.

Karibuni wahenga wenzangu
 
Nenda kamshitaki kwa magufuli

Sent from my Exclusive Y30-U00 using JamiiForums mobile app
 
mwambie una kibamia[emoji23] [emoji23]
 
sasa tukusaidiaje maamuzi ni yako mlipotongozana hatukuepo soryyyy
 
Mwanamke anayekupenda kwa dhati kabisa huwa ngumu kukutamkia zaidi ya vitendo tu...hiyo inaitwa kusoma hujui na picha hulioni?
 
Back
Top Bottom