Mimi na kondom, Mmasai na sime

Mimi na kondom, Mmasai na sime

Nanoli

JF-Expert Member
Joined
Oct 15, 2015
Posts
3,739
Reaction score
5,979
Kwakweli katika maisha yangu, kwenye safari zangu, lazima nihakikishe nina kondom japokua sina appointment na demu yeyote yule,.. Lakini huwa najisikia amani ninapotambua kwenye begi yangu zipo bakiti 2 au 3 za kondom.
Najiona nimekamilika ktk safari yangu kama vile Mmasai na sime yake..... Hahahaaah, mazoea bhana!
 
Sasa mkuu wewe ni askari lazima uwe na silaha japo sihamasishi uzinzi
 
Mkuu hiyo tabia ndio imesababisha wengine tuko salama hadi leo!!
Kuna nyakati watu tulifanya michezo mingi mitaani, condom nazishukuru!!
 
Think great
Be a great thinka

Negative mind
Think negative always

You are negative thinka.
 
Hayo madude nisivyoyapenda imenibidi nitulie na kuwa mwangalifu zaidi.
 
Mkuu hiyo tabia ndio imesababisha wengine tuko salama hadi leo!!
Kuna nyakati watu tulifanya michezo mingi mitaani, condom nazishukuru!!
Kweli aisee!
 
Siku ukipiga show ya ugenini halafu ikawa ndefu condom zikaisha kabla haujamaliza safari basi kumbuka kuja kutuonesha aina ya ARVs unazotumia.
 
Back
Top Bottom