Mbalamwezi1
JF-Expert Member
- Dec 20, 2013
- 2,073
- 2,027
Kwenu wanaume wote wa Dar, mikoani na dunia nzima. Swallama?
Mwanaume huna haja ya kugombana na mwanamke kisa mapenzi, kumbuka:
1. Wanawake ni wengi kuliko wanaume, hivyo usihangaike na mwanamke anaekusumbua, kama anakuzingua tafuta mwingine tena mkali kuliko yeye!
2. 'Life span' ya mwanaume ni ndogo kuliko ya mwanamke, hivyo kuendelea kung'ang'ana na mwanamke anayekusumbua ni sawa na kuendelea kujichelewesha kuendelea kufaidi watoto wengine wazuri wa kike ambao wamekuzunguka.
3. Mwanamke ni 'bidhaa' inayoshuka thamani kwa kasi kuliko mwanaume, hivyo mwanamke akikuletea nyodo we mwache kiroho safi tu, tafuta mrembo mwingine songesha maisha mpe miaka michache tu kwisha habari yake.
4. Watoto wazuri wa kike wanazaliwa kila siku, jikite katika kutafuta maisha (pesa) utakamata mtoto wa kike wa rangi na shepu yoyote unayoitaka.
5. Ni mwiko kwa mwanaume rijali na anayejiamini kulazimisha mapenzi kwa mwanamke ambae anaonesha kutomuhitaji.
6. KUMBUKA: Wanawake tumeumbiwa sisi wanaume (rejea uumbaji wa Mungu baada ya kumuumba mwanaume) na ndo maana Mungu amefanya wawe wengi kuliko wanaume ili wanawake na wanawake wasitusumbue(mwanamke akikuzingua achana nae bila ugomvi kamata mtoto mwingine twenze)
NAWASILISHA! NAKARIBISHA
Sikiliza Toka Kwangu!