Je, hivi ni kweli huyu mwanamke ananipenda?

Je, hivi ni kweli huyu mwanamke ananipenda?

flayboy

Senior Member
Joined
Apr 8, 2017
Posts
175
Reaction score
95
Salam wakuu,

Je huyu mwanamke ananipenda kweli au ananidanya?

Ni kama miezi miwili sahivi toka nikutane na huyu mdada na tukaanzisha mahusiano ila shida ni kwamba tuko mbali, mimi nipo mkoani yeye yupo mjini na tuna wasiliana mara kwa mara.

Ila huwa kuna kitu najiuliza mbona mara nyingi simu yake ipo busy mda mwingi na nikimuuliza huwa ananiambia nisiwe na wasiwasi ila naona imekuwa ni tabia endelevu japo nimemwambia sipendi hicho kitu ila naona hanielewi.

Jamani nisaidieni kweli huyu anamapenzi na mimi au ananidanganya kwa upande wangu nampenda balaa.

Nawasilisha

Sent from my K-KOOL using JamiiForums mobile app
 
huyo hajawahi kupata muda wa kufikiri kukupenda, wala hatarajii kufanya hivyo

chukua muda wako uende,

huna haya kweli yaani kisa kajuana na wew basi asifanye mawasiliano na wengine?
 
Nmiwah kupitia kwenye hii
Hali lakin na ww komaa tu


Na hali yako mwenywe
Ujiokoe kama ulivojiweka
Kwake

[Color= yellow]Triple A[/color]
 
Usiofu wanasemaga mwanaume wa dar

sent from my iPhone 6
 
Ulsha ambiwa usiwe na wasiwasi sasa what next??!!Acha awa chune michepuko yake,alafu mkionana mka pime usje ukasema sku kushauri mapema.
 
Inatakiwa ujue anajishughulisha na kwanza... baada ya hapo ndiyo unaweza judge na kutoa maamuzi...
Ukiwa nae karibu kama simu yake itaendelea kuwa bus, pia unaweza judge...

Kama yupo mbali siyo sahihi kumfikiria chochote negative... have a positive mind...

cc: mahondaw
 
Simu kuwa busy vinahusiana nini na jinsi anavyokupenda? Asiongee na ndugu au na marafiki kweliii mda unaopiga wewe ndio inatokea anapigiwa na ndugu zake jiamini mkuu au kama vipi mshtukize huko alipo ukajue mbivu na mbichi
 
Back
Top Bottom