Mtoto anavyoanza kujifunza ushoga

queen of the jungle

JF-Expert Member
Mar 17, 2017
228
429
Habari za mchana,
Kuna familia moja ni walimu walikuwa na mtoto wao wa kiume wa miaka minne alikuwa anasoma chekechea baada ya kuona kipato hakitoshi wakaamua kuanzisha kilimo na ufugaji.

Kwa kuwa walikuwa ni wafanyakazi wakaamua kutafuta kijana toka Iringa atakayekuwa anasimamia shughuli za kilimo na ufugaji na kumuangalia mtoto baada ya msichana wa kazi kuondoka walipokuwa wanafanya mchakato wa kupata dada mwingine kazi ya huyo kijana kwa mtoto ilikuwa kwenda kumchukua shule, kumbadilisha nguo za shule, kumpatia chakula na kumuangalia asipate matatizo wakati wazazi hawapo.

Kilichotokea yule kijana akawa anamlawiti mtoto wazazi wake pale wanapokuwa hawapo, baada ya muda afya ya mtoto ikaanza kuzorota, kuharisha yaani akawa haeleweki, na majirani wakawa wanamwambia yule mwalimu kuwa kuna muda mtoto analia sana na ukienda kumuangalia utakuta kijana kajifungia naye bafuni anamwogesha, yule dada akachukulia ni mtoto kutokuyapenda maji/kuoga, hakutilia maanani

Kuna siku mtoto akawa hana furaha usiku mama akaamua kwenda kuomba ruhusa kazini ili arudi aje amchukue mtoto ampeleke hospitali, alivyofika ghafla akakuta kijana anamlawiti mtoto chumbani kwake na kawasha redio kwa sauti kubwa ili majirani wasisikie kelele alivyofumania akaita majirani wakampeleka polisi yule kijana na yule mtoto akapelekwa hospitali.

Baada ya kumfanyia vipimo vyote ikaonekana ameathirika/UKIMWI wakamuanzishia dozi ya ARV na yule kijana akakubali kosa mahakamani na alikuwa chini ya miaka kumi na nane na akajieleza kuwa ni mgonjwa wa UKIMWI anatumia dawa na huo ugonjwa alitoka nao kwao Iringa hivyo anaombwa asamehewe baada ya muda yule mtoto akaendelea vizuri lakini akawa anawaomba watu wazima wamuingize kitu nyuma means ameshakuwa shoga tayari sijui kama atakuja kuachana na hii hali.
 
habari za mchana kuna familia moja ni walimu walikuwa na mtoto wao wa kiume wa miaka minne alikuwa anasoma chekechea baada ya kuona kipato hakitoshi wakaamua kuanzisha kilimo na ufugaji. Kwa kuwa walikuwa ni wafanyakazi wakaamua kutafuta kijana toka iringa atakayekuwa anasimamia shughuli za kilimo na ufugaji na kumuangalia mtoto baada ya msichana wa kazi kuondoka walipokuwa wanafanya mchakato wa kupata dada mwingine kazi ya huyo kijana kwa mtoto ilikuwa kwenda kumchukua shule, kumbadilisha nguo za shule, kumpatia chakula na kumuangalia asipate matatizo wakati wazazi hawapo
kilichotokea yule kijana akawa anamlawiti mtoto wazazi wake pale wanapokuwa hawapo,baada ya muda afya ya mtoto ikaanza kuzorota, kuharisha yaana akawa haeleweki, na majirani wakawa wanamwambia yule mwalimu kuwa kuna muda mtoto analia saana na ukienda kumuangalia utakuta kijana kajifungia naye bafuni anamwogesha, yule dada akachukulia ni mtoto kutokuyapenda maji/kuoga, hakutilia maanani
kuna siku mtoto akawa hana furaha usiku mama akaamua kwenda kuomba ruhusa kazini ili arudi aje amchukue mtoto ampeleke hospitali, alivyofika ghafla akakuta kijana anamlawiti mtoto chumbani kwake na kawasha redio kwa sauti kubwa ili majirani wasisikie kelele alivyofumania akaita majirani wakampeleka polisi yule kijana na yule mtoto akapelekwa hospitali,
baada ya kumfanyia vipimo vyote ikaonekana ameathirika/ukimwi wakamuanzishia dozi ya ARV na yule kijana akakubali kosa mahakamani na alikuwa chini ya miaka kumi na nane na akajieleza kuwa ni mgonjwa wa ukimwi anatumia dawa na huo ugonjwa alitoka nao kwao iringa hivyo anaombwa asamehewe
baada ya muda yule mtoto akaendelea vizuri lakini akawa anawaomba watu wazima wamuingize kitu nyuma means ameshakuwa shoga tayari sijui kama atakuja kuachana na hii hali
duh! poleni sana..
 
Habari za mchana,
Kuna familia moja ni walimu walikuwa na mtoto wao wa kiume wa miaka minne alikuwa anasoma chekechea baada ya kuona kipato hakitoshi wakaamua kuanzisha kilimo na ufugaji.

Kwa kuwa walikuwa ni wafanyakazi wakaamua kutafuta kijana toka Iringa atakayekuwa anasimamia shughuli za kilimo na ufugaji na kumuangalia mtoto baada ya msichana wa kazi kuondoka walipokuwa wanafanya mchakato wa kupata dada mwingine kazi ya huyo kijana kwa mtoto ilikuwa kwenda kumchukua shule, kumbadilisha nguo za shule, kumpatia chakula na kumuangalia asipate matatizo wakati wazazi hawapo.

Kilichotokea yule kijana akawa anamlawiti mtoto wazazi wake pale wanapokuwa hawapo, baada ya muda afya ya mtoto ikaanza kuzorota, kuharisha yaani akawa haeleweki, na majirani wakawa wanamwambia yule mwalimu kuwa kuna muda mtoto analia sana na ukienda kumuangalia utakuta kijana kajifungia naye bafuni anamwogesha, yule dada akachukulia ni mtoto kutokuyapenda maji/kuoga, hakutilia maanani

Kuna siku mtoto akawa hana furaha usiku mama akaamua kwenda kuomba ruhusa kazini ili arudi aje amchukue mtoto ampeleke hospitali, alivyofika ghafla akakuta kijana anamlawiti mtoto chumbani kwake na kawasha redio kwa sauti kubwa ili majirani wasisikie kelele alivyofumania akaita majirani wakampeleka polisi yule kijana na yule mtoto akapelekwa hospitali.

Baada ya kumfanyia vipimo vyote ikaonekana ameathirika/UKIMWI wakamuanzishia dozi ya ARV na yule kijana akakubali kosa mahakamani na alikuwa chini ya miaka kumi na nane na akajieleza kuwa ni mgonjwa wa UKIMWI anatumia dawa na huo ugonjwa alitoka nao kwao Iringa hivyo anaombwa asamehewe baada ya muda yule mtoto akaendelea vizuri lakini akawa anawaomba watu wazima wamuingize kitu nyuma means ameshakuwa shoga tayari sijui kama atakuja kuachana na hii hali.
Hakiya Mungu nimesoma habari hii kwa hisia kali yaani mtoto wangu afanyiwe kitendo cha kinyama na maradhi juu halafu nimwangalie tu!!!Kheri wenye moyo wa subira.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom