Troll JF
Platinum Member
- Feb 6, 2015
- 10,705
- 15,534
Wakuu weekend nilikua na promise na Msichana Mmoja mzuri hapa Mjini (Ninavyosema Mjini Simaanishi huko stendi mikoani Kwenu Nina maana ya Dar es Salaam).
Yule binti katumia mgogo wake vizuri kwa Kusoma tofauti na mabinti wengine migogo yao wameitumia zaidi Guest House.
Wakuu huyu Binti nilikua na Mpango wa Kumpata lakini she is too Clever nilimtamkia ila alisema yeye yupo tayari kwa kila kitu ila tuu niende Nyumbani Kwao na kwetu Asked her about fastness of an issue amesema hana Tatizo na Nina bahati she was looking someone to settle with.
Yaani Taangu Jumamosi Hadi Leo hakuna developments za hii issue nafuatilia msimamo uleule Mimi tayari Nina Familia lakini that one was too beautiful to let it go!
Wataalamu wa Situation Critical Kama hizi mnisaidie pale unakutana na Mwanaharakati anayejielewa and all solutions don't work unafanyaje?