Kaa vizuri ikuingie hii

Kaa vizuri ikuingie hii

STUNTER

JF-Expert Member
Joined
Dec 15, 2015
Posts
13,077
Reaction score
17,267
Wanawake na Wanaume wana tabia ya kujisahau sana Aise... Wanawake wakiwa wanaiwinda ndoa wanajituma, viuno sana Feni chamtoto, akiolewa sasa... anarelaxx, anaona kamaliza, hajui competition iko palepale, we jifanye umefika uone vimada vitakavyo chukua nafasi, utajikuta ur just a house wife, raha wanapewa wanaojituma..

Na upande wetu Wanaume endeleeni kunywa bia, huyo mwanamke anataka shughuli, ukidhani umempata imetosha na hana la kufanya unajidanganya,
tunaojua kusimamia kucha tukimkamata tunaliammsha dudu mwanzo mwisho, we ukija na mibia yako unapiga kimoko cha kichovu unakoroma kama Beberu...Penzi ni jukumu, ukijisahau umeumia
OVA
 
Hahahaha mkuu leo umenena vema sana.Maana wakijisahau kidogo tu wanakumbana na changamoto ya nyumba ndogo

Post sent using JamiiForums mobile app
 
True....

Post sent using JamiiForums mobile app
 
Hahahaha mkuu leo umenena vema sana.Maana wakijisahau kidogo tu wanakumbana na changamoto ya nyumba ndogo

Post sent using JamiiForums mobile app
Na hii ni lazima wakubali wakatae,
mwanaume mzima utashindwaje kwenda zaidi ya round two?
 
Master..kimoja hakitakiwi?..Kwa wastani vingapi labda?
japokuwa inategemea na dakika utakazochukua ila mwanaume anatakiwa asipige show chini ya round mbili, ipo ivyo
 
Alafu siyo wanaume wote wanataka hivyo viuno vya speed ya feni
 
Back
Top Bottom