1.Jua ratiba zake vilivyo hasa za kila siku ili kuweza kujua jinsi ya kumkwepa kunakotukuka.
2.Jenga Urafiki na Rafiki yake mkubwa na wa karibu sana ili kuweza kujua mipango yao ya siku.
3.Jenga...
Samahani natanguliza kwanza,
Jamani hivi hii iko poa au la! Kuna kijana wa kiume mwenye umri miaka 24 hataki mahusiano hii ni poa au? Jamaa ni mwanafunzi now mwaka wa kwanza chuo kikuu, atakuwa...
Naam
Tunapolala usiku, tusilale kama wanyama
Unapolala, hakikisha unamchombeza mpenzi wako..
Mpe maneno matamu kwa muda mrefu hata saa moja.
Muda kama huu wa usiku mnene, ndiyo muda wa...
Hivi ni kwanini wale watu wenye midomo michafu huwa wanafanikiwa zaidi kuliko wale wenye maneno ya busara?
Yaani unakuta kuna watu wengine katika jamii wanakuwa wanatoa maneno makali yaliyojaa...
According to demographic studies, the phenomenon of "missing women" will cause destabilization in the marriage market and also raises one interesting ethical question, can woman have more than...
Salaam wakuu,
Siku kadhaa nyuma nlileta Uzi hapa unaosema:-
Pombe imenisababisha nifukuze ndugu wa mama mtoto wangu, nawaza jinsi ya kusolve tatizo
Sasa baada ya kugundua kosa nikapiga simu kwa...
Habari zenu wana JF,
Mimi nimeleta mrejesho wa mada niliyoileta majuzi iliyokuwa ikisema > Nayachukia mapenzi, kila anayenitongoza nahisi ananisanifu. Ni baada ya kuumizwa na mapenzi.
Mmenijenga...
Nimeona Mara nyingi hata mimi pia ni shahidi, mwanaume akigegeda wanawake wengi au akiwa na wanawake wengi kingono anaonekana ni shujaa yaani the champion..anaonekana ni wa kuigwa yaani ndo mjanja...
Huyu dada sikumwelewa kabisa. Naona anajidai kwa sababu yeye ni shombe:).
Sijui hata anawajua wanaume wa JF wangapi hadi aseme hivyo.
Halafu, hizi habari za wanaume wa JF au wanawake wa JF ndo...
NI mtoto wa kike! Ndivyo kila mmoja katika familia ya Settle alivyohamaki, mara baada ya kuzaliwa kwa binti yao, Carter Loiuse Settle Juni 25, mwaka huu.
Kuzaliwa kwa Carter, binti wa Kelen (36)...
Umewahi kupuuza ujumbe wa mpenzi au mchumba wake? Tahadhari: huenda hilo likatumiwa dhidi yako kortini.
Mwanamke mmoja nchini Taiwan ameruhusiwa kumpa talaka mume wake, kwa kutumia ishara kwamba...
Jamani mabinti wa jamvini aliyetayari ajitokeze. Mume nimejitokeza. Nina miaka 32 sibagui dini wala kabila umri mwisho miaka 45 sitaki chini ya miaka 30
Sent from my SM-G530H using JamiiForums...
Wakuu kama mada inavojieleza,
Watu wengi wamekuwa wakipatwa na maswahiba mengi katika mahusiano wakati mwingine hadi kufikia mahusiano ku break lakini lakini inawezekana umekuwa ukijiuliza ni...
Habari wakuu
Kuna dada mmoja nilikuwa naishi nae kama mwaka bila kufunga ndoa Yale mapenzi ya sogea tuishi. Kwa bahati nzuri akapata mimba na kujifungua mtoto ingawa kiukweli mimi sikuwa na nia ya...
Ni pale mwanaume anapokhimiza utoe 50% ya budget yenu ya ndani, hapo si umeshajiweka kuwa unaishi na co-partner? Baada ya hapo unaamka asubuhi unategemea utandikiwe kitanda na boxers zako kule...
Wakuu habari za nyinyi jamani,
Natumaini mu wazima kabisa,
Leo nimeona nishushe haka ka uzi ambako nimekafanyia utafiti usio rasmi na nimeona kuna haja ya kukajadili.
Kwa wenzangu na mimi tulio...
Ni mtu anayemfundisha mwali wa kiume au wa kike kunga za nyumbani.
Kwenye ndoa za watu, watoto wa kike wanaokulia mpaka kwenye kuvunja ungo, elimu ya uzazi kuji kinga na mimba na elimu za...
Hii imetokea baada ya bnt kujikuta anaujauzito mchanga wa wiki mbili ilihal ana miez miwili hajapata hedhi.
Naomba kupata uzoefu je hii hal inawezekana!!? Kama inawezekana je n nn kmetokea maana...
Habari wana JF,
Mimi mwanamke ambae hana kazi sitaki hata kumuona wala kumsikia kabisa coz ni mzigo. Mimi nina kazi so inabidi niwe na mwanamke mwenye kazi pia ili tuweze kusaidiana majukumu ya...