Is it right for a woman to have more than one husband?

Maziku-Winston Smith

JF-Expert Member
May 17, 2015
296
167
According to demographic studies, the phenomenon of "missing women" will cause destabilization in the marriage market and also raises one interesting ethical question, can woman have more than one husband? What says you?

Post sent using JamiiForums mobile app
 
According to demographic studies, the phenomenon of "missing women" will cause destabilization in the marriage market and also opens one interesting ethical question, can woman have more than one husband? What says you?

Post sent using JamiiForums mobile app
Si sahihi kwa mwanamke kuwa na wame wawili kulingana na sababu za kimaumbile na kiafya ( kwa mabinti wa kileo hawatonielewa ila kwa wamama wa kale na madokta na wale wenye uweledi watanielewa )
Tuchukulie mfano , mfalme solomoni na wake zake 300 sasa ebu fanaya kinyume chake solomoni angekuwa mwanamke na ameolewa na wanaume 300 , je unazani ingekuwaje

Sent from my itel it1556 Plus using JamiiForums mobile app
 
Vipi kama idadi ya wanaume inakuwa sio kubwa kama hiyo ya mfalme Solomon mfano wanaume watatu kwa mke mmoja.
Kwani ni lazima kila mwanaume amzalishe huyo mwanamke?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
According to demographic studies, the phenomenon of "missing women" will cause destabilization in the marriage market and also raises one interesting ethical question, can woman have more than one husband? What says you?

Post sent using JamiiForums mobile app
Me too mke wangu njoo unitafsirie
 
Kama njiwa (ndege) hafanyi hivyo kwa nini iwe kwa mwanamke!?

Any way, jamii zetu zote ni kandamizi maana wanaume tunakubaliwa kuwa hata na wake 100+. Wawe wa ndoa ama siyo na siyo Wanawake kuwa na mume zaidi ya mmoja.

Lakini, tunahitaji kuwa na mke mmoja, mke awe na mume mmoja basi yatosha. Zaidi ya hapo ni kujitafutia majanga yasiyokuwa na sababu.
 
Vipi kama idadi ya wanaume inakuwa sio kubwa kama hiyo ya mfalme Solomon mfano wanaume watatu kwa mke mmoja.
Kwani ni lazima kila mwanaume amzalishe huyo mwanamke?

Sent using Jamii Forums mobile app
Mwanamke anapojihusisha na wanaume wengi kulinganana na hiyo idadi anajieeka ktk mazingira ya kupata kansa ya shingo ya kizazi au ya kizazi kwa ujumla kwani inampelekea kujiongezea vimelea viitwavyo humanpapiloma virus ambavyo huchangia sana ktk kusababisha kansa

Sent from my itel it1556 Plus using JamiiForums mobile app
 
Back
Top Bottom