JamiiForums mmenijenga, kwa sasa najiamini katika mapenzi

JamiiForums mmenijenga, kwa sasa najiamini katika mapenzi

Spirit

JF-Expert Member
Joined
Sep 19, 2013
Posts
457
Reaction score
383
Habari zenu wana JF,

Mimi nimeleta mrejesho wa mada niliyoileta majuzi iliyokuwa ikisema > Nayachukia mapenzi, kila anayenitongoza nahisi ananisanifu. Ni baada ya kuumizwa na mapenzi.

Mmenijenga kwa sasa najiamini. Nimepata ushauri mzuri sana mpaka nimetamani niwe na mtu sasa tuanze maisha. Yaliyopita hayana mashiko tena.

Ahsanteni ndugu zangu.
 
Vizuri sana

Sent from my Infinix NOTE 3 using JamiiForums mobile app
 
Kila la kher

Sent from my TECNO-N2 using JamiiForums mobile app
 
Habari zenu wana jf. Mimi nimeleta mrejesho wa mada niliyoileta majuzi iliyokuwa ikisema''Nayachukia mapenzi ''ni baada ya kuumizwa na mapenzi ,mmenijenga kwa sasa najiamn nimepata ushauri mzuri sana mpaka nimetamani niwe na mtu sasa tuanze maisha yaliyopita hayana mashiko tena ahsanteni ndugu zangu

Ukiamua kuwa na mupenzi usiende mbali nipo hapa kijana mtaratibu kabisa sijaoa.
 
Kuwa lakini, usikurupuke. Kisa tu umeona kuna raha ya kuwa na mtu kwenye mahusiano. Take care, ili usije ukarudi tena kusema wanaume sio watu.

Mapenzi matamu ukipata mtu sahihi.

tam
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom