Tozii Nyambii
Senior Member
- Apr 1, 2017
- 144
- 77
Habari wana JF,
Mimi mwanamke ambae hana kazi sitaki hata kumuona wala kumsikia kabisa coz ni mzigo. Mimi nina kazi so inabidi niwe na mwanamke mwenye kazi pia ili tuweze kusaidiana majukumu ya kulea familia Jobless women stay back with me.
Bora basi uwe na ata ujuzi lakini unakuta mwanamke hana ujuzi wowote yeye kila kitu anamtegemea mume aaaaghrrr inaboa.
Post sent using JamiiForums mobile app