Moyo mpweke

mutyama

Member
Apr 30, 2017
54
38
Jamani mabinti wa jamvini aliyetayari ajitokeze. Mume nimejitokeza. Nina miaka 32 sibagui dini wala kabila umri mwisho miaka 45 sitaki chini ya miaka 30


Sent from my SM-G530H using JamiiForums mobile app
 
hivi zile thread za wanawake wanaotafuta waume hujaziona mkuu?
yaani naona munapishana bila kuonana.
 
Maisha yanaenda kas sana
45kwa 32 tena ke ndo awe 45
Utakua umekunywa co bure

[Color= yellow]Triple A[/color]
 

Similar Discussions

0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom