gasto genaro
JF-Expert Member
- Oct 15, 2014
- 780
- 554
Naam
Tunapolala usiku, tusilale kama wanyama
Unapolala, hakikisha unamchombeza mpenzi wako..
Mpe maneno matamu kwa muda mrefu hata saa moja.
Muda kama huu wa usiku mnene, ndiyo muda wa kuchombezana.
Kuchombezana siyo lazima kupigiana simu, hata kwa messages.
Tuelezane, tufunzane namna ya kuchombezana humu jf ili tusiwaangushe tuwapendao..
Tupia maneno mazuri mazuri ya kimahaba ya kuchombeza hapa.
Chombeza