Kwanini sisi wanaume Lakini? why?

Kwanini sisi wanaume Lakini? why?

Ryzen

JF-Expert Member
Joined
Dec 6, 2012
Posts
7,312
Reaction score
8,754
Nimeona Mara nyingi hata mimi pia ni shahidi, mwanaume akigegeda wanawake wengi au akiwa na wanawake wengi kingono anaonekana ni shujaa yaani the champion..anaonekana ni wa kuigwa yaani ndo mjanja halafu he feels superior na haoni shida wala tatizo ama haya kusema kwamba nimemgegeda Asha, Fatuma,Rozi.,Manka,aisha na wengine na hata pia katika uoaji hapati shida hata wanawake wakijua kagegeda wengi ila kwa wenzetu hawa waliotolewa katika mbavu zetu za kushoto akigegedwa na wanaume wengi huonekana Malaya, mchafu, asiejiheshimu, cheap, low quality na anaonekana hafai tena kuwa mwanamke wa kuolewa na kila mwanaume anamshusha thamani!
Narudia tena kwanini lakini inakuwa Hivi? au Kufanya Ngono na wanawake wengi ni Heshima kwa Mwanaume?
Kwanini lakini?
 
Mwanaume mashine bhana
Mashine ifanye kaz

Nakumbuka hii 2009_2012
Kama skupata HIV
Wakat huo bhas ashukuriwe
Alie juu

[Color= yellow]Triple A[/color]
 
Tatizo viungo vyao vinachoka kutokana na ugawaji wa tuzo,tofauti na sisi wanaume.
 
Kufuli liliofunguliwa na funguo tofauti hilo linaitwa badlock ila funguo inayo fungua makufuli mengi ni master key
Hope you will understand what I mean

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Nimeona Mara nyingi hata mimi pia ni shahidi, mwanaume akigegeda wanawake wengi au akiwa na wanawake wengi kingono anaonekana ni shujaa yaani the champion..anaonekana ni wa kuigwa yaani ndo mjanja halafu he feels superior na haoni shida wala tatizo ama haya kusema kwamba nimemgegeda Asha, Fatuma,Rozi.,Manka,aisha na wengine na hata pia katika uoaji hapati shida hata wanawake wakijua kagegeda wengi ila kwa wenzetu hawa waliotolewa katika mbavu zetu za kushoto akigegedwa na wanaume wengi huonekana Malaya, mchafu, asiejiheshimu, cheap, low quality na anaonekana hafai tena kuwa mwanamke wa kuolewa na kila mwanaume anamshusha thamani!
Narudia tena kwanini lakini inakuwa Hivi? au Kufanya Ngono na wanawake wengi ni Heshima kwa Mwanaume?
Kwanini lakini?
Unachosema kweli, society inafavour sana wanaume.

Anyway, scientifically; a vagina is a tissue, and a penis is a muscle. Unanielewa, muscles when worked out zinarebuild nakuwa strong. Lakini vagina ni tissue, inavyopata friction ina expand na ina lose its elasticity. Basically, a penis haitochange kabisa, zaidi ya kuwa more stronger, lakini kwa vagina, it loses its former state.

Conclusion: haipendezi kwa mwananke kujinadi kuwa ana wanaume wengi. Binafsi naona kila mwanamke ni mama yangu, much respect to them. Ila mwanaume akisema ana wanawake wengi, I don't mind, why cause they are men.

-callmeGhost
 
HIV ina stage Tatu .

Kwaufupi mpaka AIDS ionekane huchukua miaka 10-20 ,,,, namnavyoogopa kupima endeleen tu kua superior ,,,mtakipita.

Endeleeni tu.
 
Kwanini kufuli moja likifunguliwa na funguo mia kufuli hilo utupwa.

Ila funguo moja ikifungua makufuli mia, funguo hiyo utunzwa na kutafutiwa ulinzi mkubwa?


Mkuu naomba majibu hapo kwanza ndio tuamie hapo kwako.
 
HIV ina stage 3.

Kwa kifupi mpaka AIDS ionekane huchukua miaka 5-10 ,,,, namnavyoogopa kupima endeleen tu kuwa superior ,,,mtakipita.
Nasikia hapo Tanzania, ARVs za madabida ni feki wiki 4 tu tunakupeleka kwenye nyumba ya milele.

Endeleeni vivyo hivyo.
 
Kwanini kufuli moja likifunguliwa na funguo mia kufuli hilo utupwa.

Ila funguo moja ikifungua makufuli mia, funguo hiyo utunzwa na kutafutiwa ulinzi mkubwa?


Mkuu naomba majibu hapo kwanza ndio tuamie hapo kwako.


Kwa sababu huo ufunguo ni wa kijambazi.
 
Mwanaume hujulikana jinsia na hulka yake bila hata ya kujisema. Ukiona mwanaume anasema mimi mwanaume, basi anza kumtilia shaka
 
Back
Top Bottom