Mahusiano, mapenzi, urafiki

Tubadilishane mawazo kuhusu familia, mahusiano, mapenzi, urafiki, n.k na kushauriana

On JF:

Waungwana mimi ni kijana na ninafanyakazi katika kampuni mmoja hapa Tz ni afisa mwajiri, Tatizo langu ni kwama nikipata boi friend huwa anaamini kwamba mimi nina uwezo hivyo huwa hana msaada...
0 Reactions
87 Replies
8K Views
Ni j-mosi tulivuuuuuu! Tumetulia tukiaiiga wiki kwa namna yake. Kama mada inavojipambanua nani anaamini sana uchawi katika kufanikisha suala la mapenzi?. Ila kwa kawaida naona mwanamke ndiyo zaidi...
0 Reactions
9 Replies
3K Views
Wadau, Mchuchu birtdday inakaribia na sitakuwa naye karibu mimi nipo mikoani kama mnavosema na yeye yupo Dar. Nataka nimfanyie suprise ya flowers hapo DSM. Hapendagi mambo ya keki. Maua mazuri...
0 Reactions
25 Replies
6K Views
Nikiwa nae sehemu tulivu nitaanza kumwambia maneno haya: "Kipindi tulipokuwa pamoja tulikuwa kama marafiki tulishirikiana katika mambo mbalimbali, inawezekana kuna sehemu nilikukwaza kwa namna...
3 Reactions
68 Replies
6K Views
Nimepata nafasi ya kuendelea kimasomo na huku ninakazi, je niache kazi nikasome au nifanye kazi kwanza?
0 Reactions
12 Replies
1K Views
Habari wakuu, ni matumaini yangu mu wazima wa afya na mnaendelea vizuri na mihangaiko yenu ya hapa na pale. Naomba niende kwenye mada, Kiukweli mwanzo niliona punyeto kama mkombozi wangu wakati...
0 Reactions
29 Replies
4K Views
Hello wanajamvini. Tusaidianeni mawazo wakubwa,mke mwema ni yupi na anatabia gani maana wengi ndiyo wanamapenzi sio tatizo na nijitolee mfano mimi,nna nyota ya kupendwa na wanawake wengi na...
0 Reactions
5 Replies
2K Views
Habari za majukumu wana JF, Mimi ni kijana 28 yrs naishi TMK. Natafuta mdada atakae kuwa tayari kunipenda na kutekeleza plan ambazo tutazipanga kama partners. Sifa; Umri miaka 18 hadi 26. Awe...
0 Reactions
14 Replies
1K Views
Nimepata muda kipindi cha week end nikawa najadili issues zinazoifanya jamii ya mtanzania iwe unique haswa pale inapochanganyika na jamii nyingine toka Africa au wageni kwa ujumla….Katika...
0 Reactions
7 Replies
2K Views
habari za muda huu wana jamvi (wana nzengo) nikiri kwa dhati ya moyo wangu nimekua mpenzi mzuri sana wa stories zinazowekwa na lara 1 na the bold nimekua nikimwona lara 1 hapa jukwaani mara...
3 Reactions
6 Replies
2K Views
Habari za wakati huu wana janvi, Moja ya maswali ambayo nimewahi kukutana nayo, ni je kuna uhusiano wowote kati ya mapenzi na rangi ya vitu mbalimbali? Mwana saikolojia Dr. Edward de Bono...
1 Reactions
7 Replies
7K Views
Kisa hiki alikitoa Mzee Mwanakijiji miaka mingi iliyopita,nakumbuka kwa mara ya kwanza nilikisoma 2008. Ni kisa kizuri sana. Sasa msianze kunirukia na kunishadadia kwa kusema mtu ana sura ya...
2 Reactions
20 Replies
6K Views
Habari... Msaada wenu tafadhari, Nimekuwa kwenye mahusiano kwa miaka 3 sasa,mimi na mpenzi wangu tumefanya mambo mengi pamoja ikiwemo kununua kiwanja,kuanzisha mradi wa pamoja lakini Juzi...
3 Reactions
91 Replies
6K Views
1. Epuka mizinga : hii itasaidia yeye kutambua kwa urahisi kuwa unampendea mapenzi ya kweli na sio pesa hivyo utaongeza imani yake kwako na nia yake ya kukuoa. Ila sio kila siku baby recharge me...
0 Reactions
6 Replies
2K Views
Hellow wana JF, Naomba niwe serious haswa mwenye kunishauri bila kujali nilivyo anishauri tu, nimewaza sana sihitaji tena uhusiano wa kimapenzi wala kuwa na mpenzi, wala kufanya mapenzi. Nataka...
0 Reactions
87 Replies
14K Views
Leo ndo siku ambayo nataka kumwambia yule ninayempenda neno moja tu nakupenda. Nimewaza cha kumwambia tangia nilipokutana naye chuo 2013 mwaka wa kwanza, mwaka 2014 nilijitahidi kumwambia "M"...
2 Reactions
54 Replies
7K Views
WANAUME huwa tunatamani sana kupata WIFE MATERIAL lakini cha ajabu tukiwapata tunawatafutia visa vya ajabu visivyoeleweka wakati tuliwatafuta wenyewe... Ukiona Mwanamke ana WIVU NA...
27 Reactions
89 Replies
9K Views
Habari wakuu.. Katika maisha unawezea pitia changamoto nyingi katika maisha yako ambazo uleta furaha na huzuni ilikuwaje ulifika point ya kusema ili neno TOO MUCH.. Kwa upande wangu nakumbuka...
0 Reactions
8 Replies
966 Views
Poleni na Majukumu wanandugu nimerudi tena katika hili jukwaa kwa kile cha kukuza akili yangu zaidi katika masuala ya mahusiano. Leo nikiwa kazini tulikuwa tunapiga story za hapa na pale na boss...
0 Reactions
13 Replies
3K Views
Poleni na Majukumu wanandugu nimerudi tena katika hili jukwaa kwa kile cha kukuza akili yangu zaidi katika masuala ya mahusiano. Leo nikiwa kazini tulikuwa tunapiga story za hapa na pale na boss...
2 Reactions
5 Replies
1K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…