Umri Gani ni Sahihi Kuoa?

Umri Gani ni Sahihi Kuoa?

Ryzen

JF-Expert Member
Joined
Dec 6, 2012
Posts
7,312
Reaction score
8,754
Poleni na Majukumu wanandugu nimerudi tena katika hili jukwaa kwa kile cha kukuza akili yangu zaidi katika masuala ya mahusiano.

Leo nikiwa kazini tulikuwa tunapiga story za hapa na pale na boss wangu, yeye ni engineer pia na kijana mdogo tu mwenye kila kitu anachohitaji interms of finance, sasa katika story mbili tatu jamaa akadai hajaoa na si kwamba anapenda ivo ila bali ni kwamba alicheza vibaya alivokuwa chuo na hakustick kwenye relationship na mwanamke. Na anadai hio imemfanya kutokuingia kwenye uchumba na mwanamke yeyote na haezi beba mwanamke tu ivi ivi!

Sasa Ndugu zangu swali langu ni kwamba ni umri gani sahihi kwa mwanaume kuoa na atleast ukae kwenye uchumba muda gani Kabla ya Kuoa!

Ahsanteni!
 
Umri sahihi ni pale utakapoona wewe upo tayari kuwa katika ndoa

Sent from my Iphone 7 plus using JamiiForums app
 
Back
Top Bottom