“UPOLE “ na “ KUOMBA”….dhana tata zilizo katika utamaduni wa mtanzania….. | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

“UPOLE “ na “ KUOMBA”….dhana tata zilizo katika utamaduni wa mtanzania…..

Discussion in 'Mahusiano, mapenzi, urafiki' started by nderingosha, May 3, 2012.

 1. n

  nderingosha JF-Expert Member

  #1
  May 3, 2012
  Joined: Mar 20, 2011
  Messages: 3,526
  Likes Received: 1,312
  Trophy Points: 280
  Nimepata muda kipindi cha week end nikawa najadili issues zinazoifanya jamii ya mtanzania iwe unique haswa pale inapochanganyika na jamii nyingine toka Africa au wageni kwa ujumla….Katika mjadala wetu nilipata nafasi kuwa na mdau mmoja mtanzania aliyewahi kuishi UK na jamii ya kitanzania katika miaka ya hivi karibuni…..Kwenye mjadala paliibuka hoja mbili zilizochukua mda wote wa mjadala…..hoja hizi ni "UPOLE" wa mtanzania(yaani lack of aggressiveness) na "KUOMBA"…..

  Katika mjadala jamaa yangu alinichekesha sana pale alipokuja na mfano huu…..Kwamba ..watanzania ni wapole mno haswa wanapokuwa nje au wamejichanganya na wageni ama jamii nyingine toka Africa….yaani pale ambapo kuna jambo linalohitaji competition…wenzetu wanakuwa na upper hand.. kwani wako more aggressive….

  Akatoa mfano (kutokana na observations zake) wa mabinti wa kibongo(kitanzania)UK wanavyokuwa easy kugongwa kirahisi na majamaa wa mataifa mengine…kwamba ukimweka binti wa TZ na mabinti wa kikenya au Ghana au Nigeria au south Africa etc etc…..inamchukua demu mtanzania mda mfupi sana kulambwa..tena mara nyingi..with no strings attached …..

  Mpaka eti inafikia majamaa wanasema wanawapenda mabinti wa kibongo vile eti ni rahisi kuwapata…hawajui kukataa etc etc ….wapole mno…..pale ambapo binti wa ki south Africa/kenya/nigeria/ etc etc atataka materials etc etc ….mtanzania hana hilo...they are easy yaani…..nilicheka sana….lakini alisema si wote lakini majority wako hivyo….na haijalishi…wawe wamesoma au la…

  Hili mi nilichukua kama challenge na kujaribu kuona kama lina reflect kwenye real life ya watanzania nyumbani….Upole ni jambo jema…lakini ni mbaya kama utatumika .kwa faida ya wengine......haswa linapokuja swala la professional competition?maana hata hapa TZ tayari kuna kelele kuwa nafasi nyingi kwenye taasisi za private sector wanapewa wageni …..e.g Kenyans….vile wako more aggressive kwenye issues???????

  Likaja swala la "KUOMBA"……hapa napo tulicheka sana….maana kwa kweli watanzania tunaomba sana….yaani pamoja na jumuiya za kimataifa kuijua TZ kama nchi yenye kuomba sana misaada….ukija nyumbani TZ …katika jamii kuna utamaduni wa kuomba sana…..Utakuta mtu anatoka nyumbani kwake na pesa zake mfukoni…anaenda dukani kununua kitu….akifika anaanza na kuomba…..eti"naomba kiberiti etc etc …na pesa anatoa yeye!!!....

  Mtu anamkopesha mwenzake fedha…..siku ya kwenda kuchukua ikifika anamwambia mdaiwa wake.."aisee ebu naomba ile pesa niliyokukopesha"…etc etc...jamaa akamalizia ka kusema aliwahi kushuhudia mtu anabakwa anasema.."haya sasa naombeni mniache niende nyumbani"…LOL…..

  Ukitizama bungeni nako utasikia wabunge wakisema…"tunaiomba serikali itusaidie kuondoa matatizo ya wananchi"….nako serikalini utasikia wakisema.."tunawaomba wawekezaji waje kuwekeza TZ"…..au "tunawaomba wawekezaji wawasaidie wananchi " au…"tunakuomba rais usikie kilio chetu wananchi"…etc etc…yaani kwa kifupi jamii nzima ya mtanzania inaomba jumla …….

  Huu tayari ni utamaduni wa mtanzania na wageni wanatujua kwa hili…..Kuna wakati nilienda Kenya kikazi nikapata shida sana siku za mwanzo maana kila nilipokuwa nikienda dukani nilikua natanguliza neno.."aisee naomba nipatie kitu fulani…..jamaa walikuwa wanashangaa wanasema hapa hatutoi vitu bure….unatakiwa kulipia…nikawaambia ..yes..i have the money…wakacheka saana….you have the money and yet you beg!!!!eh you from TZ yes?!!!

  You beg too much you TZ people……wao wakienda shop wanasema "nipe"…Sasa ninapotafakari hizi dhana napata picha kuwa labda tunalalamika bure wakati mwingine kwani utamaduni wetu nao unachangia kwenye matatizo yetu???...maana serikali ya TZ inakwenda huku na huko kuomba misaada wakati tuna raslimali tele!!!….hii inatofauti gani na mtu anaeenda dukani alafu anaomba wakati pesa anazo mfukoni????......Tujitizame!!!..haya mwayaonaje wadau??
   
 2. BADILI TABIA

  BADILI TABIA JF-Expert Member

  #2
  May 3, 2012
  Joined: Jun 13, 2011
  Messages: 30,867
  Likes Received: 6,219
  Trophy Points: 280
  sio kwamba ni upole, ni utu, ni kujiheshimu na kuheshimu wengine,

  na hapo kwenye kugongwa hakuna ukweli, wanawakimbia mabinti wa kikenya chinjachinja
   
 3. matron

  matron Member

  #3
  May 3, 2012
  Joined: Nov 16, 2011
  Messages: 66
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 13
  Mimi sijaona ukweli kabisaaa kuhusu wadada wa kTz maana kuna wakati nilikua Kenya mbona na wao walichukuliwa sana tuu na wabongo?tena wengine wameolewa kabisa. ingawa wengi wao wako rude .Mtz ni maadil tu hayahusiki na kujirahisi kwa mtu binafsi lol.
   
 4. Kongosho

  Kongosho JF-Expert Member

  #4
  May 3, 2012
  Joined: Mar 21, 2011
  Messages: 36,126
  Likes Received: 301
  Trophy Points: 160
  Sasa unataka na sie twende dukani tuseme nipe?

  Basi ukienda south america utakuja hapa na kutuambia tuvae nguo za zambarau msibani.

  Ku-copy ruksa, ila ku-paste lazima iwe kwa jinsi ambayo jamii unayoishi itaelewa, kuhusu kusema nipe vs naomba dukani sioni mantiki.


  Kuhusu wanawake wa tanzani akuliwa sana huko UK, nayo ni subjective, huoni kwamba mataifa mengine yanapenda watz kwa uzuri wao wa sura? Au kwa kwanini isiwe unawaona sana wasichana wa kitz sababu una-interest nao tayari? Ina maana kweli akina dada wa TZ walio nje ni wagongwaji tu?
  Anyway, ni kawaida kudharau vilivyo nyumbani kwako.
   
 5. matron

  matron Member

  #5
  May 3, 2012
  Joined: Nov 16, 2011
  Messages: 66
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 13
  Mimi sijaona ukweli kabisaaa kuhusu wadada wa kTz maana kuna wakati nilikua Kenya mbona na wao walichukuliwa sana tuu na wabongo?tena wengine wameolewa kabisa. ingawa wengi wao wako rude . Hapo huyo jamaa zako wenyewe wakware niseme bilabila - Mtz ni maadil tu hayahusiki na kujirahisi kwa mtu binafsi lol.
   
 6. M

  Mwanaweja JF-Expert Member

  #6
  May 3, 2012
  Joined: Feb 8, 2011
  Messages: 3,576
  Likes Received: 10
  Trophy Points: 135
  mzizimkuu your right by 100% hata mimi nashindwa kuwajaji wa tanzania wenzangu tumekuwa na huruma na niomba omba sana sijui kwa nini.
   
 7. Poise

  Poise JF-Expert Member

  #7
  Jul 22, 2017
  Joined: May 31, 2016
  Messages: 6,673
  Likes Received: 6,119
  Trophy Points: 280
  Rekebisha basi hii thread yako maana ina uchafu sana.

  Any way, you copied somewhere else and pasted it here at JF.
   
 8. simplemind

  simplemind JF-Expert Member

  #8
  Jul 22, 2017
  Joined: Apr 10, 2009
  Messages: 11,800
  Likes Received: 2,571
  Trophy Points: 280
  Acha longo longo watanzania tunahusudiwa ugenini kwa upole ,utu na ustaarabu wetu.
   
Loading...