Nahitaji ushauri: Nikasome au nifanye kazi?

Nahitaji ushauri: Nikasome au nifanye kazi?

musa raphael

Member
Joined
Feb 20, 2014
Posts
19
Reaction score
11
Nimepata nafasi ya kuendelea kimasomo na huku ninakazi, je niache kazi nikasome au nifanye kazi kwanza?
 
Kwa serikali hii mkuu fanya yote ukishindwa fanya kazi kwanza upate hela
 
level gan ya elimu ili upewe ushauri kulingana na tatizo
 
Masomo ya level gani? Masters, PhD, Bachelor degree au unaongelea kuendelea na masomo ya form V na 6?
 
Back
Top Bottom