Umri Gani ni Sahihi Kuoa?

Umri Gani ni Sahihi Kuoa?

Ryzen

JF-Expert Member
Joined
Dec 6, 2012
Posts
7,312
Reaction score
8,754
Poleni na Majukumu wanandugu nimerudi tena katika hili jukwaa kwa kile cha kukuza akili yangu zaidi katika masuala ya mahusiano.

Leo nikiwa kazini tulikuwa tunapiga story za hapa na pale na boss wangu, yeye ni engineer pia na kijana mdogo tu mwenye kila kitu anachohitaji interms of finance, sasa katika story mbili tatu jamaa akadai hajaoa na si kwamba anapenda ivo ila bali ni kwamba alicheza vibaya alivokuwa chuo na hakustick kwenye relationship na mwanamke. Na anadai hio imemfanya kutokuingia kwenye uchumba na mwanamke yeyote na haezi beba mwanamke tu ivi ivi!

Sasa Ndugu zangu swali langu ni kwamba ni umri gani sahihi kwa mwanaume kuoa na atleast ukae kwenye uchumba muda gani Kabla ya Kuoa!

Ahsanteni!
 
Kumbuka tu, ukioa katika 20s ni sawa na kuondoka night club saa tatu usiku.....
 
Utakapoamua wewe mwenyew ...hata kama una miaka 15 ukiamua kuoa we oa tu ....ila uwe na uwezo wa kummudu mwanamke ....sio mnakuja hapa oooh sijui mke wangu hanisaidii majukumu mara hivi mara vile hiyo haitakiwi babu

Sent from my H8501 using JamiiForums mobile app
 
Hakuna formula kuna waliooa wakiwa wadogo na wameweza kuhimili ndoa zao, pia wapo wakubwa waliooa wakashindwa kuzimudu ndoa zao. Udogo na ukubwa ninaoongelea hapa ni wa kiumri

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Poleni na Majukumu wanandugu nimerudi tena katika hili jukwaa kwa kile cha kukuza akili yangu zaidi katika masuala ya mahusiano.

Leo nikiwa kazini tulikuwa tunapiga story za hapa na pale na boss wangu, yeye ni engineer pia na kijana mdogo tu mwenye kila kitu anachohitaji interms of finance, sasa katika story mbili tatu jamaa akadai hajaoa na si kwamba anapenda ivo ila bali ni kwamba alicheza vibaya alivokuwa chuo na hakustick kwenye relationship na mwanamke. Na anadai hio imemfanya kutokuingia kwenye uchumba na mwanamke yeyote na haezi beba mwanamke tu ivi ivi!

Sasa Ndugu zangu swali langu ni kwamba ni umri gani sahihi kwa mwanaume kuoa na atleast ukae kwenye uchumba muda gani Kabla ya Kuoa!

Ahsanteni!
Nakuomba Me too nione comment ya jibu lako hapa sorry lakini
 
Hata ukiwa na miaka 8 [emoji41][emoji41]
 
Pale mwanaume anapokuwa na kipato cha uhakika na raslimali za kutosha sio vyema akae pekeyake, anahitaji kupata mke. Ila pale mwanaume anapokuwa hana kazi ya uhakika na kipato cha kutosha ni vyema aendelee kibachela asioe hata umri uende vipi

Heshima pesa
 
Back
Top Bottom